Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Kichaa wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili yako ya kukariri mambo. Wanaopinga wote ni opportunists TU, wanaovisia events na kudandia humohumo. Nchi inazo shida nyingi sana zinazohitaji kupewa attention. Ni mwananchi gani anahangaishwa na kukodishwa kwa bandari? Tusubiri mahakama inasemaje kuhusu mkataba huu lakini kwenda kupiga kampeni kwenye vyombo vya habari na mitaani ni kutafuta ganda la ndizi likusukume hadi Ikulu, ni ngumu kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano, ni kudharau mahakama, serikali, bunge na wananchi waliowwchagua wabunge.Elimu yako ni ndogo sana au iko kwenye makaratasi tu lkn kichwani hakuna kitu.
Huwezi kutatua changamoto za wananchi bila kuwa na fedha mkononi, wapinzani wanategemea kuwa watapewa fedha na Wazungu ili kuiongoza nchi wawapo madarakani. Wanapinga bwawa la umeme, Royal tour, bandari, reli, barabara, elimu bure na kila kitu. Hawasemi ni kwa vipi biashara duniani itakuwa huru, kilimo kitaboreshwaje kwa fedha ipi,Hamna wapinzani nchi hii CCM itatawala mpaka ichoke
Ukiwa kiongozi unatumia Kodi za wananchi ili kufanikisha mambo na hata hawa waliopo zaidi ya kukopa kila kona, tozo ambazo hatuoni value for money bado wanatembeza bakuli....Huwezi kutatua changamoto za wananchi bila kuwa na fedha mkononi, wapinzani wanategemea kuwa watapewa fedha na Wazungu ili kuiongoza nchi wawapo madarakani
Hivi unajua huyu waziri wa sasa alikuwa anapinga hilo Bwawa..., na sasa hivi badala ya kuhakikisha linakwisha alionekana anagawa mitungu ya gesi yaani badala ya kumaliza hizi gharama ya nishati ishuke bado analeta maigizo ya mitungi ya gesi sijui itajijaza kila inavyokwisha ?!!!. Wanapinga bwawa la umeme,
Royal tour hata mimi nilipinga na sio necessarily mpinzani; Bandari bila uwazi wa mikataba tapinga mpaka kesho elimu bora na bora elimu sio necessarily the same thing....Royal tour, bandari, reli, barabara, elimu bure na kila kitu. Hawasemi ni kwa vipi biashara duniani itakuwa huru, kilimo kitaboreshwaje kwa fedha ipi,
Kitenge amepata VX ??!!Kwahiyo swala la Bandari kwako ni bla bla?
Wenzio kina kitenge wameonesha ma VX yao, wewe unapuyanga miayo tu
Kwa katiba hii uko sahihi !Hamna wapinzani nchi hii CCM itatawala mpaka ichoke
Point !Mfano, Kama wakiandaa mkutano na maandamano ya kupinga wizi na ufanisi mdogo kwenye bandari zetu hata Mimi nitahudhuria na kushiriki. Kama wataandamana kupinga kilimo kwa kutumia jembe la mkono nitawapongeza na kushiriki. Lakini kupinga juhudi za kutatua tatizo bandarini, hilo napinga, labda kama wangekuwa na mwekezaji Bora zaidi ya DP world lakini serikali ikamkataa na kumchagua do world.
Wapinzani hawana agenda wanadandia dandia tu matukio wananchi wakisahau nao kwao limepita wanangoja lingine.Chama tawala kitaendelea kutawala kwa msaada wa dola na ubovu wa katiba
Ni punguani anayeweza kuwauliza wapinzani maendeleo, badala ya kuwauliza ccm wanaoshikilia rasilimali zetu.Vyama vyetu vya upinzani nchini ni reactive sio proactive. Watanzania wanazo shida zao zilizogandamana na ngozi ya miili yao utadhani wameumbwa na kuzaliwa nazo.
Mpaka leo watanzania Wana shida zifuatazo:.
1. Chakula: hadi Leo watu wetu wengi hawana chakula Cha kuwatosha kula Milo 3 kwa siku kwa mwaka mzima. 90% ya wakulima bado wanatumia jembe la mkono kulima, mbegu za hovyohovyo na kutegemea mvua.
2. Uchumi: Hakuna masoko na bei za uhakika ya kuuzia mazao, mifugo, na samaki wao. Watu wetu wengi ni maskini sana hata kama wanavuja jasho jingi sana.
3. Ajira: vijana wetu wengi hawana ajira na wenye ajira wanalipwa hela kidogo sana. Hii inasababisha rushwa na huduma mbovu.
4. Elimu: Elimu yetu ni duni sana kutokana na ukosefu wa fedha za kulipa walimu vizuri na wakutosha, kununua vifaa vya kufundishia na kuwa na walimu wenye sifa na ujuzi.
5. Maji: mpaka Leo watu wetu hawana maji ya kunywa.
6. Wizi wa fedha na mali za wananchi unaofanywa na wenye mamlaka.
Mambo yote haya hayana uhusiano wa moja kwa moja na katiba mpya, tume ya uchaguzi Wala ukodishaji wa bandari.
Jengeni hoja ni kwa vipi mtaondoa shida hizi za wananchi kwa njia nyepesi na rahisi sana kuliko wanavyofanya CCM kwa miaka 60 ya Uhuru.
Sisi watanzania tunawaona hata nyinyi mnababaisha TU kuwaona kama mko tayari kufa, kufungwa au kuitukana serikali kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kuna nchi duniani hazina uchaguzi lakini maisha ya wananchi wao yanakwenda vizuri.
Tuambieni namna mtakavyotafuta fedha za kuindesha nchi, namna mtavyokuwa na mahakama zinazomua kwa haki, mtavyobadilisha kilimo, mtakavyotafuta masoko ya mazao mifugo na samaki, mtakavyoleta ajira na mishahara mikubwa kwa watumishi na mtakavyokuza elimu.
Kule Kenya wapinzani wanahoja kwakuwa wanapinga ukubwa wa Baraza la mawaziri na matumizi vya hovyo, hawapingi uwekezaji wao ambao 95% ni wakoloni wanaomiliki uchumi wao.
Wapinzani wetu sisi wanapinga mambo ya kadhi, bandari kupewa mwarabu, katiba na tume ya uchaguzi mpya inayoweza kuwaingiza na wao madarakani ili wale.
Hatujaona nchi ya Afrika iliyopata nafuu za kiuchumi, kielimu, kihuduma baada ya wapinzani kuingia Ikulu, haipo.
Kwa hiyo bandari kuuzwa sio hoja kwako sio!?Vyama vyetu vya upinzani nchini ni reactive sio proactive. Watanzania wanazo shida zao zilizogandamana na ngozi ya miili yao utadhani wameumbwa na kuzaliwa nazo.
Mpaka leo watanzania Wana shida zifuatazo:.
1. Chakula: hadi Leo watu wetu wengi hawana chakula Cha kuwatosha kula Milo 3 kwa siku kwa mwaka mzima. 90% ya wakulima bado wanatumia jembe la mkono kulima, mbegu za hovyohovyo na kutegemea mvua.
2. Uchumi: Hakuna masoko na bei za uhakika ya kuuzia mazao, mifugo, na samaki wao. Watu wetu wengi ni maskini sana hata kama wanavuja jasho jingi sana.
3. Ajira: vijana wetu wengi hawana ajira na wenye ajira wanalipwa hela kidogo sana. Hii inasababisha rushwa na huduma mbovu.
4. Elimu: Elimu yetu ni duni sana kutokana na ukosefu wa fedha za kulipa walimu vizuri na wakutosha, kununua vifaa vya kufundishia na kuwa na walimu wenye sifa na ujuzi.
5. Maji: mpaka Leo watu wetu hawana maji ya kunywa.
6. Wizi wa fedha na mali za wananchi unaofanywa na wenye mamlaka.
Mambo yote haya hayana uhusiano wa moja kwa moja na katiba mpya, tume ya uchaguzi Wala ukodishaji wa bandari.
Jengeni hoja ni kwa vipi mtaondoa shida hizi za wananchi kwa njia nyepesi na rahisi sana kuliko wanavyofanya CCM kwa miaka 60 ya Uhuru.
Sisi watanzania tunawaona hata nyinyi mnababaisha TU kuwaona kama mko tayari kufa, kufungwa au kuitukana serikali kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kuna nchi duniani hazina uchaguzi lakini maisha ya wananchi wao yanakwenda vizuri.
Tuambieni namna mtakavyotafuta fedha za kuindesha nchi, namna mtavyokuwa na mahakama zinazomua kwa haki, mtavyobadilisha kilimo, mtakavyotafuta masoko ya mazao mifugo na samaki, mtakavyoleta ajira na mishahara mikubwa kwa watumishi na mtakavyokuza elimu.
Kule Kenya wapinzani wanahoja kwakuwa wanapinga ukubwa wa Baraza la mawaziri na matumizi vya hovyo, hawapingi uwekezaji wao ambao 95% ni wakoloni wanaomiliki uchumi wao.
Wapinzani wetu sisi wanapinga mambo ya kadhi, bandari kupewa mwarabu, katiba na tume ya uchaguzi mpya inayoweza kuwaingiza na wao madarakani ili wale.
Hatujaona nchi ya Afrika iliyopata nafuu za kiuchumi, kielimu, kihuduma baada ya wapinzani kuingia Ikulu, haipo.
Sasa mkitukana ndo mtazuia nchi kuuzwa!?Wewe kunguni unaona nchi kuuzwa siyo hoja!!?? mavi ya bata wewe na wenzako!
Hizo hoja ulizozitaja zinahusu bajezi ya CCM, na hizo hoja siyo mpya na zitaendelea kuwepo kutokana sera ambazo hazina muelekeo pamoja na maamuzi ya kisiasa. DPWORD ni kechefuchefu kinachotokana na mkataba mbovu ambao usipopigiwa kelele utalighalimu Taifa, (Tanganyika),ambao umesababishwa na unyumbu, UNYUMBU NI TABIA YA TULIOWAPA DHAMANA KUAHIRISHA KUFIKIRI KWA NAFSI KWASABABU YA KULINDA MASILAHI YA KUNDI FULANI, (CCM) AMA UOGA WA VIONGOZI WAO. Herding behavior is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of group objectives, (conflict of interest), or fear of their leaders. (amygdala), thus, lack of individual decision making, and the end result will be disaster or uncertainty inherentVyama vyetu vya upinzani nchini ni reactive sio proactive. Watanzania wanazo shida zao zilizogandamana na ngozi ya miili yao utadhani wameumbwa na kuzaliwa nazo.
Mpaka leo watanzania Wana shida zifuatazo:.
1. Chakula: hadi Leo watu wetu wengi hawana chakula Cha kuwatosha kula Milo 3 kwa siku kwa mwaka mzima. 90% ya wakulima bado wanatumia jembe la mkono kulima, mbegu za hovyohovyo na kutegemea mvua.
2. Uchumi: Hakuna masoko na bei za uhakika ya kuuzia mazao, mifugo, na samaki wao. Watu wetu wengi ni maskini sana hata kama wanavuja jasho jingi sana.
3. Ajira: vijana wetu wengi hawana ajira na wenye ajira wanalipwa hela kidogo sana. Hii inasababisha rushwa na huduma mbovu.
4. Elimu: Elimu yetu ni duni sana kutokana na ukosefu wa fedha za kulipa walimu vizuri na wakutosha, kununua vifaa vya kufundishia na kuwa na walimu wenye sifa na ujuzi.
5. Maji: mpaka Leo watu wetu hawana maji ya kunywa.
6. Wizi wa fedha na mali za wananchi unaofanywa na wenye mamlaka.
Mambo yote haya hayana uhusiano wa moja kwa moja na katiba mpya, tume ya uchaguzi Wala ukodishaji wa bandari.
Jengeni hoja ni kwa vipi mtaondoa shida hizi za wananchi kwa njia nyepesi na rahisi sana kuliko wanavyofanya CCM kwa miaka 60 ya Uhuru.
Sisi watanzania tunawaona hata nyinyi mnababaisha TU kuwaona kama mko tayari kufa, kufungwa au kuitukana serikali kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kuna nchi duniani hazina uchaguzi lakini maisha ya wananchi wao yanakwenda vizuri.
Tuambieni namna mtakavyotafuta fedha za kuindesha nchi, namna mtavyokuwa na mahakama zinazomua kwa haki, mtavyobadilisha kilimo, mtakavyotafuta masoko ya mazao mifugo na samaki, mtakavyoleta ajira na mishahara mikubwa kwa watumishi na mtakavyokuza elimu.
Kule Kenya wapinzani wanahoja kwakuwa wanapinga ukubwa wa Baraza la mawaziri na matumizi vya hovyo, hawapingi uwekezaji wao ambao 95% ni wakoloni wanaomiliki uchumi wao.
Wapinzani wetu sisi wanapinga mambo ya kadh)i, bandari kupewa mwarabu, katiba na tume ya uchaguzi mpya inayoweza kuwaingiza na wao madarakani ili wale.
Hatujaona nchi ya Afrika iliyopata nafuu za kiuchumi, kielimu, kihuduma baada ya wapinzani kuingia Ikulu, haipo.
Wapinzani tuliwaamini tukawapa wabunge wengi waende bungeni kufanya kweli. Ona wengi wao wakaenda CCM kuunga juhudi, Sasa hivi sina imani na mpinzani tena, ni waongo sana. Hebu muone lipumba, Slaa wilboard, mrema, sumaye, lowasa, lamwai, dovutwa,cheyo, mkumbo, mngwila, tumbili, Nasari, nk. Na wale wengine ambao hawakwenda CCM walikuwa wanafanya kazi zao binafsi za kujitafutia hali Bora kama wale akina sugu Wana mahoteli, akina Mbowe nk. Kama wanataka kura tena lazima tuwe na mkataba na wapiga kura kwanza ili kama wakienda kuunga juhudi tuweze kuwaadhibu na kulipa fidiaNi punguani anayeweza kuwauliza wapinzani maendeleo, badala ya kuwauliza ccm wanaoshikilia rasilimali zetu.
Mbona CCM imeshachokwaHamna wapinzani nchi hii CCM itatawala mpaka ichoke
Endelea kujidanganya CCM ipo sana tuu na itaendelea kuwepo sana tuMbona CCM imeshachokwa
Vyama vyetu vya upinzani nchini ni reactive sio proactive. Watanzania wanazo shida zao zilizogandamana na ngozi ya miili yao utadhani wameumbwa na kuzaliwa nazo.
Mpaka leo watanzania Wana shida zifuatazo:.
1. Chakula: hadi Leo watu wetu wengi hawana chakula Cha kuwatosha kula Milo 3 kwa siku kwa mwaka mzima. 90% ya wakulima bado wanatumia jembe la mkono kulima, mbegu za hovyohovyo na kutegemea mvua.
2. Uchumi: Hakuna masoko na bei za uhakika ya kuuzia mazao, mifugo, na samaki wao. Watu wetu wengi ni maskini sana hata kama wanavuja jasho jingi sana.
3. Ajira: vijana wetu wengi hawana ajira na wenye ajira wanalipwa hela kidogo sana. Hii inasababisha rushwa na huduma mbovu.
4. Elimu: Elimu yetu ni duni sana kutokana na ukosefu wa fedha za kulipa walimu vizuri na wakutosha, kununua vifaa vya kufundishia na kuwa na walimu wenye sifa na ujuzi.
5. Maji: mpaka Leo watu wetu hawana maji ya kunywa.
6. Wizi wa fedha na mali za wananchi unaofanywa na wenye mamlaka.
Mambo yote haya hayana uhusiano wa moja kwa moja na katiba mpya, tume ya uchaguzi Wala ukodishaji wa bandari.
Jengeni hoja ni kwa vipi mtaondoa shida hizi za wananchi kwa njia nyepesi na rahisi sana kuliko wanavyofanya CCM kwa miaka 60 ya Uhuru.
Sisi watanzania tunawaona hata nyinyi mnababaisha TU kuwaona kama mko tayari kufa, kufungwa au kuitukana serikali kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kuna nchi duniani hazina uchaguzi lakini maisha ya wananchi wao yanakwenda vizuri.
Tuambieni namna mtakavyotafuta fedha za kuindesha nchi, namna mtavyokuwa na mahakama zinazomua kwa haki, mtavyobadilisha kilimo, mtakavyotafuta masoko ya mazao mifugo na samaki, mtakavyoleta ajira na mishahara mikubwa kwa watumishi na mtakavyokuza elimu.
Kule Kenya wapinzani wanahoja kwakuwa wanapinga ukubwa wa Baraza la mawaziri na matumizi vya hovyo, hawapingi uwekezaji wao ambao 95% ni wakoloni wanaomiliki uchumi wao.
Wapinzani wetu sisi wanapinga mambo ya kadhi, bandari kupewa mwarabu, katiba na tume ya uchaguzi mpya inayoweza kuwaingiza na wao madarakani ili wale.
Hatujaona nchi ya Afrika iliyopata nafuu za kiuchumi, kielimu, kihuduma baada ya wapinzani kuingia Ikulu, haipo.
Comments reservedEndelea kujidanganya CCM ipo sana tuu na itaendelea kuwepo sana tu