Wapinzani pelekeni hoja nzito kwa wananchi, sio blaa blaa za Bandari

Elimu yako ni ndogo sana au iko kwenye makaratasi tu lkn kichwani hakuna kitu.
Akili yako ya kukariri mambo. Wanaopinga wote ni opportunists TU, wanaovisia events na kudandia humohumo. Nchi inazo shida nyingi sana zinazohitaji kupewa attention. Ni mwananchi gani anahangaishwa na kukodishwa kwa bandari? Tusubiri mahakama inasemaje kuhusu mkataba huu lakini kwenda kupiga kampeni kwenye vyombo vya habari na mitaani ni kutafuta ganda la ndizi likusukume hadi Ikulu, ni ngumu kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano, ni kudharau mahakama, serikali, bunge na wananchi waliowwchagua wabunge.
 
Hamna wapinzani nchi hii CCM itatawala mpaka ichoke
Huwezi kutatua changamoto za wananchi bila kuwa na fedha mkononi, wapinzani wanategemea kuwa watapewa fedha na Wazungu ili kuiongoza nchi wawapo madarakani. Wanapinga bwawa la umeme, Royal tour, bandari, reli, barabara, elimu bure na kila kitu. Hawasemi ni kwa vipi biashara duniani itakuwa huru, kilimo kitaboreshwaje kwa fedha ipi,
 
Huwezi kutatua changamoto za wananchi bila kuwa na fedha mkononi, wapinzani wanategemea kuwa watapewa fedha na Wazungu ili kuiongoza nchi wawapo madarakani
Ukiwa kiongozi unatumia Kodi za wananchi ili kufanikisha mambo na hata hawa waliopo zaidi ya kukopa kila kona, tozo ambazo hatuoni value for money bado wanatembeza bakuli....
. Wanapinga bwawa la umeme,
Hivi unajua huyu waziri wa sasa alikuwa anapinga hilo Bwawa..., na sasa hivi badala ya kuhakikisha linakwisha alionekana anagawa mitungu ya gesi yaani badala ya kumaliza hizi gharama ya nishati ishuke bado analeta maigizo ya mitungi ya gesi sijui itajijaza kila inavyokwisha ?!!!
Royal tour, bandari, reli, barabara, elimu bure na kila kitu. Hawasemi ni kwa vipi biashara duniani itakuwa huru, kilimo kitaboreshwaje kwa fedha ipi,
Royal tour hata mimi nilipinga na sio necessarily mpinzani; Bandari bila uwazi wa mikataba tapinga mpaka kesho elimu bora na bora elimu sio necessarily the same thing....

Tatizo lako badala ya kuwalaumu waliopo madarakani unaowalipa wafanye mambo na hawafanyi unalaumu waliopo nje kwa kutofanyika kinachohitaji kufanyika....

Kwahio point yako ni kwamba wapinzani hawa hawafai au sababu hawafai hata mambo ya kuongelea yenye impact kwa taifa na yenyewe yasiongelewe ?!!

Wananchi kukosa chakula, maji na umeme ni vitu vinavyoonekana na kuwaumiza sasa ; ila upuuzi utakaofanyika leo huenda impact yake ikawa kwa vizazi vijavyo (refer mikataba ya madini ya ajabu ajabu, dowans, symbion n.k.)
 
Point !
 
Tusiwalaumu sana wapinzani nadhani wanacheza na beat ya wananchi walio wengi. Ukichunguza kwa umakini watanzania wengi wanapenda issue za kudandia dandia yani za matukio bila hata kuwa na proper information. Masuala ya msingi kama hayo uliyoyaeleza wengi wetu si tu hatuyajui bali hatuwezi kuyajadili kwa sababu hayana ushabiki. Twendeni hivyo hivyo tutafika tu.
 
Ni punguani anayeweza kuwauliza wapinzani maendeleo, badala ya kuwauliza ccm wanaoshikilia rasilimali zetu.
 
Kwa hiyo bandari kuuzwa sio hoja kwako sio!?
 
Huyu naye hana utofauti na kibajaji, hivi CCM kweli imepoteza dira kiasi hiki.

Kwani suala la bandari kwa CCM sio hoja nzito?

Au uzito wa joja unapimwa kwenye mizani hipi huko CCM?

Mnachekesha vijana hamko serious bali mko kwa ajili matumbo yenu tu.
 
Hizo hoja ulizozitaja zinahusu bajezi ya CCM, na hizo hoja siyo mpya na zitaendelea kuwepo kutokana sera ambazo hazina muelekeo pamoja na maamuzi ya kisiasa. DPWORD ni kechefuchefu kinachotokana na mkataba mbovu ambao usipopigiwa kelele utalighalimu Taifa, (Tanganyika),ambao umesababishwa na unyumbu, UNYUMBU NI TABIA YA TULIOWAPA DHAMANA KUAHIRISHA KUFIKIRI KWA NAFSI KWASABABU YA KULINDA MASILAHI YA KUNDI FULANI, (CCM) AMA UOGA WA VIONGOZI WAO. Herding behavior is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of group objectives, (conflict of interest), or fear of their leaders. (amygdala), thus, lack of individual decision making, and the end result will be disaster or uncertainty inherent
 
Ni punguani anayeweza kuwauliza wapinzani maendeleo, badala ya kuwauliza ccm wanaoshikilia rasilimali zetu.
Wapinzani tuliwaamini tukawapa wabunge wengi waende bungeni kufanya kweli. Ona wengi wao wakaenda CCM kuunga juhudi, Sasa hivi sina imani na mpinzani tena, ni waongo sana. Hebu muone lipumba, Slaa wilboard, mrema, sumaye, lowasa, lamwai, dovutwa,cheyo, mkumbo, mngwila, tumbili, Nasari, nk. Na wale wengine ambao hawakwenda CCM walikuwa wanafanya kazi zao binafsi za kujitafutia hali Bora kama wale akina sugu Wana mahoteli, akina Mbowe nk. Kama wanataka kura tena lazima tuwe na mkataba na wapiga kura kwanza ili kama wakienda kuunga juhudi tuweze kuwaadhibu na kulipa fidia
 


Sasa wewe mjinga mjinga hujui kwamba 40% ya mapato ni bandari. Hayo maji unasubiri pesa ya serikali ambao 40% ya mapato ndiyo watu wanapigania! Lakini umbumbumbu wako hata hujui hilo unafikiri serikali inaokota pesa🥲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…