Mkuu tuache siasa, watz hatujui tunataka nini.Hakuna serikali inachoweza fanya zaidi ya kutuhimiza kunawa, vaa barakoa, Epuka misongamano etc
Mambo mengine tu jiongezee. Serikali mfano ikaamua sasa watu wapigwe lock down mtasemaje?
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hakuna serikali inachoweza fanya zaidi ya kutuhimiza kunawa, vaa barakoa, Epuka misongamano etc
Mambo mengine tu jiongezee. Serikali mfano ikaamua sasa watu wapigwe lock down mtasemaje?
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Tusubili taarifa kutoka chatoSijui nifuate ushauri wa askofu gwaji au kanisa katoliki
Nimemkumbuka sana Nkurunzinza sijui kwa niniKorona ingeanza kutafuna watu wa juu ndio wangeshika adabu.
Maleria imekuwepo 100 years.. hueezi sema threat wkt tumesha idhibit kiasi kikubwaWao ni Idara ya afya? Wanasemaje pia kuhusu Malaria?
Ngoja nikufungue macho kidogo, siku zote ukiona kanisa katoliki linatoa kauli ujue hiyo imepita, kwasababu wao ndiyo wanao control mambo mengi hao ni zaidi ya kanisa. Hakuna kiongozi wa kiserekali anaweza kushindana nao.Kanisa lisipokanusha hii habari ndani ya saa 72 basi nipigeni ban! Naamini watakanusha sio kwa sababu hawajaandika au hawaamini suala la uwepo wa corona bali watakanusha kwa sababu kutoa taarifa kama hii ni kuipigana vita vya kiuchumi dhidi ya taifa letu huku kanisa likiwa upande wa mabeberu.
Kuna mtu kila siku anakejeli uvaaji wa barakoa na hashaurikiHakuna serikali inachoweza fanya zaidi ya kutuhimiza kunawa, vaa barakoa, Epuka misongamano etc
Mambo mengine tu jiongezee. Serikali mfano ikaamua sasa watu wapigwe lock down mtasemaje?
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
We bhana acha habari zako! Mara ngapi kanisa limeshawahi kukana waraka wao?! Tuombe tu wasitikiswe lakini kwa serikali hii don't say "NEVER"! Au tuombe tu iwe wameshapata baraka za wenye mamlaka!Ngoja nikufungue macho kidogo, siku zote ukiona kanisa katoliki linatoa kauli ujue hiyo imepita, kwasababu wao ndiyo wanao control mambo mengi hao ni zaidi ya kanisa. Hakuna kiongozi wa kiserekali anaweza kushindana nao.
Kwani ile shule ambayo juzi tu hapa ilikanusha taarifa yake wenyewe nao maamuzi yao ni kama ya Gwaji Boi?Unajuaa vikao vya maamuzi hayo ... Unadhaani ni maaamuzi ya msela kama gwajiboi na mzee wa upako?
Aibu kwa serikali!
Inshallah Allah atakupa shufaa....................Mimi toka Covid-19 Vol 1 hadi hii ya sasa Covid-20/21 Vol 2 nilikuwa natandika na bado mpaka sasa natandika mchanganyiko wa tangawizi kali,limao,kitunguu twaumu mixer asali kila siku iendayo kwa Mungu ila majuzi hapo nilipigwa mafua moja na homa kwa mbali mpaka sasa sauti haijarudi normal naamini kwa uweza wa aliye juu tutavuka tena na hili.
Waafrika tuna shida zetu Mungu mwenyewe anajua mwafrika hajaumbwa afe kwa mafua sisi zetu ni ajali,milo mibovu malaria etc ila tuwe na tuzidishe tahadhari na huu ugonjwa.
MKOROSHO utaujuwa Tu mbele ya wanaume.....umeshaharibikaWao ni Idara ya afya? Wanasemaje pia kuhusu Malaria?