Listen my friend, tahadhari humchukulii mtu yyt hata kama unampenda sana unajichukulia binafsi kwa afya na uzima wako.Wao ni Idara ya afya? Wanasemaje pia kuhusu Malaria?
Safi sana kijana mpumbavu.Wao ni Idara ya afya? Wanasemaje pia kuhusu Malaria?
Sorry this is nonsense
You're out of mind.
Pathetic.
Hawa nao wanatumiwa na mabeberu kuihujumu serikali ya awamu ya tano?!.
Nandera😥😥😥Kuna show ya nandy na koffie vp tutaenda swahiba [emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Tunakumbushana tu bwashee!Unamtishia nani na lockdown, kwani ile awamu ya kwanza kulikuwa na lockdown ama watu walichukua tahadhari zaidi?
Ni kweli, lakini kauli uliotumia very controversial kwa kiongozi wa juu wa Kanisa..Sawa Mkuu lakini Tambua Serikali yako haitaki mtu yeyote tofauti na PM,Prezzo,Makamu Prezzo au Waziri kutoa taarifa za New_More_Near.....Mtu yeyote akifanya hivyo atakuwa amevunja sheria na tukifuata precedence ya lissu kutuhumiwa kufanya kosa inawezekana wenye mamlaka wakachukua hatua ya kupima mkojo.
Ni kweli, lakini kauli uliotumia very controversial kwa kiongozi wa juu wa Kanisa..
Na ofcourse mbona barua au waraka umetoa tu tahadhari na si taarifa kamili kama ugonjwa upo.! Asilimia mia naamini hawawezi 'kuikanusha' hata kama wakiingiliwa na mamlaka.
Kesho akiwa anazindua shamba kule kijijin kwake atawajibu.
Wamevumilia ukatoliki mwisho wameona bora kama ni kuhama dini ahame.wamepasua mbarika.