Waraka: Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) latoa tahadhari kuhusu ugonjwa wa Corona nchini

Waraka: Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) latoa tahadhari kuhusu ugonjwa wa Corona nchini

At least viongozi hawa wa dini hawajakaa kimya kuhusu hili. Yule wa Askofu wa Arusha na ule waraka wake na sasa huu wa TEC.
 
Waumini wa kikristo hasa katoliki wanajisahau sana na kuona viongozi wao wapo juu kuliko viongozi wa serikali ila awamu ya huyu bwana hadi maaskofu wamesanda, waraka umetolewa kijanja mno wameshindwa kukiri kilichopo tz
Kanisa lipo juu ya serikali
 
Unapoteza muda tu Mkuu kuandika maana tokea Corona imeanza mpaka sasa hakuna Padre aliyekufa na corona.Kingine kuna Mungu siyo mawazo ya Padre ndiyo yanayoaminiwa maana kama Mungu aliweka tumboni kwa mwanamke kutoka kwa majimaji wa Mwanaume mpaka ukazaliwa atashindwaje kukulinda na Corona Pole kwa kutafuta kick isiyokuwa na mashiko.Kumbuka alichofanya Askofu ni kutekeleza maagizo ya Vatcan ambako huko Corona iliwatafuna hasa .
Ndo unajiona una akili kuliko maaskofu na maoadri wote Tanzania. Ndo unajiona unawazidi akili mashehe na Maimamu? Una akili za kutosha kwenda chooni na kujitawaza tu huna zaidi ya hapo.
 
Siamini katika viongozi wa dini hata Siku moja. Wakitoa tamko kuna masilahi yao yameguswa mahali. Hawa wasiooa hata kutunza familia hawajui siamini kama wanaweza kuwa na uchungu na watu.
Rubbish.
Wewe unaejua kuzaa una uchungu na nini kama huoni uchungu watu kufa kwa corona huku hakuna hatua zozote serikali imechukua.
Kichwa chako kimejaa ute ulioharibiwa na bangi
 
Wakuu
Mimi kama mkatoliki mwenye imani thabiti naahidi kufuata maelekezo ya kanisa na hasa viongozi wangu mapadre na maaskofu waliosema tujikinge kuvaa barakoa, kunawa mikono na sabuni na maji tiririka, kamwe kwenye hili sitowasikiliza wanasiasa au viongozi wa serikali maana sioni kama wanaushauri mzuri juu ya ugonjwa huu
Natoa wito kwa wakatoliki wote tuusome waraka ule kwa umakini na tuhakikishe tunafuata maelekezo ya kanisa takatifu katoliki
Afya ni mali na utailinda mwenyewe na tujikinge huku tukiendelea kuomba.
Amina.
 
Mimi tahadhali nimechukua toka zamani sana...mimi nina bright future hapa duniani, sikuja kusindikiza watu...wengine wanasubiri kifo tu hawana future yoyote, kwahiyo kila mtu achukue tahadhali kivyake bana.
Wasifu wa marehemu ' marehemu arizariwa , akazurura ,akafwa'...mtu kama huyu lazima aseme hakuna corona....
 
Hofu yangu juu ya huu ugonjwa ni athari zake kiuchumi. Ukizingatia maisha ya Watanzania wengi kula yetu ni shida, kuna watu kula yao inategemea day to day activities yaani ni lazima aende kibaruani ndiyo familia yake ile 😭😭

Sambamba na hilo hata biashara pia zitaathiriwa, unaweza kuta mmevuna na mazao yakakosa soko.

Ni muda sasa wenzetu NIMR waje na chanjo zao ili Ku rescue situation manake niliona mvutano kwenye media kuwa Nchi isikubali kupewa nchanjo kutoka nje.

Muhimu Wananchi wapewe maelekezo na Serikali kuhusu namna ya kujikinga na huu ugonjwa ili hali waendelee na shughuli zao za kila siku za kujipatia kipato.

Mungu atusaidie
 
Nani alikuambia waraka una madhara, akili ndogo, wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine you always have negative mind, am not TEC neither the government which is responsible.
Quinine usinitukane tafadhali................................bullying, trolling and bashing is prohibited you have chose to intently contravene the docket of the fora.....................this is a blasphemy behviour, abstain from it!!!
 
Wao ni Idara ya afya? Wanasemaje pia kuhusu Malaria?
Malaria ina DAWA mkuu, hata ukipata leo hakuna mwenye wasiwasi na wewe, watu watakua karibu na wewe muda wote na hata ikitokea UMEKUFA, maiti yako inapewa heshima zote, haitengwi na utaagwa kwa heshima zote, sio KORONA.

Nina hakika haya unayajua sana, siasa tanzania zimetuathiri sana, hua tunadhani yeyote aliye kinyume na msimamo wa mtu fulani, basi ni mpinzani.
 
Back
Top Bottom