wamemuandikia nani?Kanisa Katoliki Tanzania limetoa waraka kwa ajili ya kuwaandaa waamini wake kwa ajili ya kipindi cha Toba, kinachoanza rasmi Jumatano ijayo tarehe 14 Februari 2018 [ambayo ndiyo siku ya wapendanao, Valentine. tusherehekee kwa Toba eeeh tafadhalini!]. Kipindi hicho hujulikana pia kama KWARESIMA, ambacho kinahitimishwa na JUMA KUU na kisha sikukuu ya PASAKA.
Kama una haraka sana, soma ukurasa wa 11 na 12 (kurasa orijino) au ukurasa wa 14 na 15 kwa kurasa za PDF. Naambatanisha waraka huo.
Karibu! Ni nondo Kali!
Kokotoa utume baraza la kanisa katoliki usubiri wiki ikiisha hujalipwa funga kila mkatoliki jela.Je wanalipa kodi? TRA wana kazi ya kufanya hapa.
HUU WARAKA UKCHAPWA KTK MAGAZET UTAKUWA MTAMU ingawa kuna watu watajikojolea
Hapana hii sii kazi yakeKanisa liende mbele zaidi kwa kuwafukuza kanisani waumini wanaohusika kuleta udikteta Tanzania , shetani asikaribishwe kanisani .
Nahisi kuna kitu kinakosekana katika ubongo wako.. Waraka umesomwa tayari makanisani, bado unausema wa uongo..? Au hamkutegemea Kanisa katoliki kum-defy Pengo na kutoa waraka wa kuituhumu Serikali..?
Unayemjuawamemuandikia nani?
na yy atatoa maoni yake kuweka sawa!Aliye karibu na Kadinali Pengo aniambie yupo katika hali gani
Ona wingi wao lakini hawana cha maana. MUM walipewa vijumba na Mkapa, yaani woooooooooooooooooooooooooooote wanashindwa kujenga kitu cha maana. Ila kila kona ya barabara kuna jumba lile linaitwaje.....hao baakwat
na wala hawanung,uniki kuachwa serikalini!Ona wingi wao lakini hawana cha maana. MUM walipewa vijumba na Mkapa, yaani woooooooooooooooooooooooooooote wanashindwa kujenga kitu cha maana. Ila kila kona ya barabara kuna jumba lile linaitwaje.....
Kazi ya kanisa siku zote ni kumkana shetani na kumfukuza mbaliHapana hii sii kazi yake
Yule wa Dsm hataukana?! Ninavyomjua lazima aseme ni msimamo binafsi na si wa kanisa!!Sasa huu ni wa aina yake, maana haijawahi kutokea Baraza lenyewe likatoa tamko kali hivi. Huko nyuma matamko ya Kanisa yametolewa na kamati za Baraza, na siyo Baraza lenyewe. Na baadhi ya Maaskofu waliweza kutamka kutokubaliana. Hili ni tofauti. Hii ni rasmi kabisa ya Baraza zima na kama unavyoona kule mwisho Maaskofu wote wamejiorodhesha. siyo mchezo.
yule ni Wa kuandikiwa waraka? Labda Wa kumsifia tuUnayemjua
Wanajengewa makao makuu hawawezi kutoa neno!!Sisi viongozi wetu wa kiislamu ( kasoro sheikh Ponda) sijawai kusikia hata siku moja kutoa waraka au tamko la kuilamu serikali wala kutoa ushauri, wao baraka ya kufuga midevu tu shubamitiiiii, !!!!!
inajulikana nguvu zake!Katoliki ikisema n nani awezaye kupinga? Wacha tusubiri
Huyu jamaa hawezi kutubuinajulikana nguvu zake!