WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

Wana maombi tupo kazini na tunasema mtu yeyote asijaribu kuwagusa hawa watumishi wa Mungu kwa njia yeyote ila kwani kitakacho mpata itakuwa ni laana mpaka kwa sisimizi nyumbani kwake
 
Yeye ameshauri upinzani upitie njia ya mahakama kupinga huu udhalimu. Nafikiri mkakati huu ni wakutilia nguvu. Najua mwanzo walisema wangeenda mahakamani sijui iliishia wapi?

kama umesoma waraka nenda kwenye kipengele walichozungumzia mahakama ndo maana hata yeye hakuwahi kwenda zaidi ya kupelekwa
 

wewe humjui kanjanja Ramadhani aliyepindisha hukumu ya mgombea binafsi ya Mtikila baada ya kushinda mahakama kuu
 
Ninachoipenda sana Roman Catholic hua sio wanafiki.Nahisi kuna siku nitahama protestant kuwafuata.Ingekua ni sisi mtu wetu yupo on power..... Nikiangalia na DRC Kabila ni MTU wao na wamemgeuka! but haki ndio msingi Mkuu wa hili dhehebu. Mungu awabariki sana. Nadhani Luther alibase kiroho zaidi ila kina Malasusa hawa wanapenda mno sifa nakumbuka alikuepo taifa km Askofu Mkuu kumuapisha huyu Sizonje.
 
Mwisho wa siku atabaki yeye na Bashite na wachache aliowapa vyeo.
 
Kwanza akatubu ndipo mambo mengine yafuatie!

Sijui Kwanini Yule askofu mkubwa wa kanisa anashindwa kumshauri Swahiba wake atubu!
.msimamo wa TEC sometimes huwa unatofautiana na msimamo wa kanisa!
ili mtu atubu atubu ni lazima atambue kosa lake na kulijutia
 
Umoja ni nguvu.. Angetamka mmoja angeombwa kuonyesha kibali cha kuishi nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…