WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

Wana maombi tupo kazini na tunasema mtu yeyote asijaribu kuwagusa hawa watumishi wa Mungu kwa njia yeyote ila kwani kitakacho mpata itakuwa ni laana mpaka kwa sisimizi nyumbani kwake
 
Yeye ameshauri upinzani upitie njia ya mahakama kupinga huu udhalimu. Nafikiri mkakati huu ni wakutilia nguvu. Najua mwanzo walisema wangeenda mahakamani sijui iliishia wapi?

kama umesoma waraka nenda kwenye kipengele walichozungumzia mahakama ndo maana hata yeye hakuwahi kwenda zaidi ya kupelekwa
 
Mafisadi Mkapa na Kikwete hawakutaka mtu msafi kama Jaji Augustino ambaye hana kasha zozote kwa kuhofia maovu yao yangeweza kuwapandisha kizimbani na pia jaji angeweza kuruhusu katiba mpya ya rasimu ya Warioba hivyo wakaamua kuweka mbele maslahi yao binafsi na ya MACCM badala ya Tanzania na Watanzania na kumchagua mtu ambaye hana sifa hata chembe ya kuongoza nchi yetu.

wewe humjui kanjanja Ramadhani aliyepindisha hukumu ya mgombea binafsi ya Mtikila baada ya kushinda mahakama kuu
 
Ninachoipenda sana Roman Catholic hua sio wanafiki.Nahisi kuna siku nitahama protestant kuwafuata.Ingekua ni sisi mtu wetu yupo on power..... Nikiangalia na DRC Kabila ni MTU wao na wamemgeuka! but haki ndio msingi Mkuu wa hili dhehebu. Mungu awabariki sana. Nadhani Luther alibase kiroho zaidi ila kina Malasusa hawa wanapenda mno sifa nakumbuka alikuepo taifa km Askofu Mkuu kumuapisha huyu Sizonje.
 
Inatia moyo sana kuona Baraza la Maaskofu nchini limeanza kulaani na kukemea huu UdU wa kutisha unaoendelea nchini katika awamu hii.

Waliokuwa wanaikosoa Serikali hii dhalimu walitusiwa majina mbali mbali ikiwemo wasaliti, majizi, wapiga madili na matusi mengine chungu nzima.

Sasa hata Baraza hili la Maaskofu limechoka kuendelea kukaa kimya huku UdU nchini ukizidi kushamiri kwa kasi ya kutisha na hivyo kutishia amani ya nchi yetu.

DU apingwe kwa nguvu zote za Watanzania wenye mapenzi ya kweli na nchi yetu ili aheshimu katiba, Bunge, mahakama, sheria za nchi, sheria za manunuzi ya Serikali, sheria za kutoa fedha hazina etc.

Naendelea kusema huyu jamaa ni janga kubwa sana la Taifa letu na ni mtu hatari sana kwa mustakabali wa Taifa letu.

Nzi Elli Tetty Sky Eclat Salary Slip zitto junior MENGELENI KWETU tindo Saint Ivuga Erythrocyte lusungo Retired
Mwisho wa siku atabaki yeye na Bashite na wachache aliowapa vyeo.
 
Kwanza akatubu ndipo mambo mengine yafuatie!

Sijui Kwanini Yule askofu mkubwa wa kanisa anashindwa kumshauri Swahiba wake atubu!
.msimamo wa TEC sometimes huwa unatofautiana na msimamo wa kanisa!
ili mtu atubu atubu ni lazima atambue kosa lake na kulijutia
 
Umoja ni nguvu.. Angetamka mmoja angeombwa kuonyesha kibali cha kuishi nchini
 
Back
Top Bottom