SubiriJibu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 1,805
- 1,876
W
Wataambiwa wanajihusisha na siasa. Wanaweza kutishiwa hata kufutwa kwa Kanisa!
Wapumbavu wote waliowaza au kutaka kulifuta kanisa walifutika wao wenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
W
Wataambiwa wanajihusisha na siasa. Wanaweza kutishiwa hata kufutwa kwa Kanisa!
Kama si kuamuru Kanisa katoliki kuchunguzwa uraia na kuambiwa ni wa Vatican, sijui!!!!
Naomba tu kanisa lisiambiwe LINAWASHWA.
bwana yule anatamani afunge makanisa katoliki kama ikiwezekana
Hapa Maaskofu na Kanisa kwa ujumla wake wasubiri Matusi kutoka kwa vijana wa awamu ya tano.
Hili kanisa ni chochezi na chonganishi kati ya Rais na wananchi wake. Ni lazima vyombo vya uasalama kulichunguza kuundani zaidi kuna maaskofu wapo nje ya maadili yao ya kichungaji na wanachanganya siasi na dini ndani ya Tanzania.
Ninaomba Serikali kupitia kwa msemaji wake hata yeye Bwana mkubwa aliangalie hili kwa karibu na kulikemea kanisa na maaskofu wote waliohusika kuandaa waraka huu wakamatwe wahojiwe kama viongozi wengine wa dini waliotamka mambo ya siasa tena ya kidini kwamba baadhi ya viongozi wa dini wanapaswa kutubu dhambi zao.
Sasa hao hawajasema kutubu tu bali wamesema ni dhuluma kwa haki na demokrasia hapa nchini.
Kama hili halitafanyika Kuanzia sasa nitajia kabisa hapa nchini kuna ubaguzi mkubwa wa Kidini, kwamba kwa kuwa wenye mamlaka wanatoka dini hii kuu ya Katoliki sasa wana haki ya kusema chochote hata kama kinawagombanisha Rais na watu wake na kuharibu amani ya nchi kwa kumfanya Rais mkiukwaji wa Katiba iliyomuweka madarakani NA kwamba Rais yupo juu ya katiba.
Pole Tanzania.
Lakini ni mwanzo mzuri sana kwa nchi yetu kama hata viongozi wa dini sasa wanatambua kwamba nchi hii inaendeshwa Kidicteta bila ya kufuata katiba na sheria za nchi.
Pia ninafikiri wamesoma na kufuatilia kwa karibu hatua za Wenzao wa Kongo kwa Kumuadabisha Rais Kabira.
Hayati Nyerere alikuwa na vision kubwa alichokisema kipo sawa kabisa.Tuseme hapana.Hii Rafiki hata TBC hutokaa uisikie na kuna siku hata Youtube itafanyiwa editing ni vizuri tuaziweka vyema hizi record
.....hao wakatoliki ndo walio muweka, unakumbuka Lowassa aliwaambia Waanglikana wenziwe kuwa sasa ni zamu yao !? ....nothing can happen, wataishia kupakana majivu tuu !Kwa hiyo hatutarajii kwamba baadhi ya Maaskofu watajitenga na kauli hii. Hii ni kauli rasmi ya Kanisa Katoliki. kwa hiyo hapo serikali itabidi itoe kauli. kama itakaa kimya, maana yake tumepata sauti nyingine ya kuukosoa utawala wa JPM. tulikuwa na sauti moja tu iliyothubutu kumkosoa JPM hadharani, Tundu Lissu. sasa limeongezeka na Kanisa Katoliki. Kama JPM ataaza ligi na Kanisa Katoliki, basi hiyo itakuwa ni ligi ya mabingwa. ni mtanange mkali
Na mimi nimevulia hayo, naona meneno mengi swali langu la msingi hajajibu.Mkuu akikujibu ntaomba uni-tag hilo jibu lake.. Maana aina ya uandishi wa comments zake, umeegemea kwenye arrogance zaidi kuliko facts..
Hebu thibitisha hili.
Hapa Maaskofu na Kanisa kwa ujumla wake wasubiri Matusi kutoka kwa vijana wa awamu ya tano.
Hawalingani kabisa wanatumikia deities tofauti kabisa na zinazopingana, how can you compare them?Usilinganishe kanisa katoliki na hivyo vikundi vya kihuni (ministries).
Wewe unaonekana ni askofu wa uswekeni kama gwajima.Hawalingani kabisa wanatumikia deities tofauti kabisa na zinazopingana, how can you compare them?