Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

Waraka si mbaya,hope watajieleza na nadhani watafute chairman na mimi nadhan mkumbo anaweza
 
Kumbe chadema kupanga mkakati wa kugombea nafasi ya uongozi inayoshikiliwa na mkwe wa Mtei ni kosa la kihaini!!!
 
inaniwia vigumu sana kuamini kwamba pamoja na yote hayo bado watu hatukubali kuwa CHADEMA kuna tatizo kubwa tena la msingi. Tunaweza kufuta uanachama watu wengi lakini tatizo lililopo lisiposhughulikiwa nina hakikahatutafika mbali. Mh. Tundu Lissu nakuheshimu sana lakini naanza kupata wasiwasi sasa haiwezekani hautaki urais wa kifalme lakini unakumbatia Uenyekiti wa Kifalme, this is insanity.
 
Napitia waraka huu kila mara sioni tatizo aise ni vita vya kidemokrasia lakini pana tija ya kuijenga chadema kiuchumi zaidi! Kweli elimu ya mjinga ni majungu
 
H8 ndio waraka unaomtoa zito ktk uongozi? Hii ni aibu kubwa kwa viongozi wa chadema waliobariki maamuzi haya.
 
huu mtiririko umejaa ushahidi laini na mwepesi sana kiasi hakuna kitu chochote kinachoshikika (tangible). Hauwezi hata kidogo kufananishwa na uzito wa ule ushahidi wa usaliti uliowezeshwa na akaunti za benki zilizo ujerumani..pole ndugu mwandishi lakini sijashawishika na lolote.
 
waraka umekamatwa kwenye laptop ya mwigamba na amekiri hili tatizo lliko wapi? Kitila na zitto waliitwa wakakubali na kuomba kujiuzulu nyazifa zao, tatizo liko wapi?

mwigamba kaua bendi hiyo
 
uchanganuzi mzuri. kama umeandikwa na wahusika kosa lao ni kuandika.
hata hivyo hauna mashiko ya kuwaadhibisha labda kupewa onyo.
 
siamini chadema kulikuwa na watu wa dizaini hii.

hakika tulianza na Mungu, tunaendelea na Mungu, na bila shaka, kwa imani, tutamaliza na Mungu.
 
Duh acha nikaongeze memory ya kichwa changu maana kuanzia alfajiri ya leo hadi sasa ipo full kinoma.
 
Halafu lisu alisema waraka huo una matusi na uchochezi wa kidini mbona sijaona mahala pameandikwa udini.
 
Sijaona kosa la kumvua uongozi mtu ni ushauri murua kabisa huu ni wakati wa kuongozwa na wasomi siyo vilaza safi.
 
Huu waraka umepikwa tuu na kikundi cha chadema baunsa.
 
Njia ya mwongo haifiki mbali.Chadema sasa wajipange kuwaeleza watanzania na kuusambaza huu waraka pamoja na nyaraka zingine kwa watanzania ili wajionee kazi ovu iliyokuwainafanywa.
Eti Dr.Kitila Mkumbo amewahi kuwa usalama wa Taifa/ccm?
 
Siasa za ubabe, Chadema walikuwa wanaelekea mahali lakini kwa hili wamejivunja miguu. Mgogoro huu ulikuwa na fursa nzuri kwa chama kama wangeamua kuangalia tatizo liko wapi kuliko kufukiza watu wanaosikilizwa na wananchi
 
Back
Top Bottom