Huu ushauri ushindwe katika jina la yesu!!!!
The secretary bora uje tumshee Slave ukihitaji mme......
Kamwee usimdharau usyemjua....
Bwana wake /wako hujui anatumia id gani humu kama hata unaijua.....
Kuna wimbi la multiple ID kama sio bwana wako huwezi jua aliyekupitia ni C.T.U....
Evelyn Salt ujue Marry Hunbig anakupenda na ataka akuchumbie
Atanioa, nitamuoa au tutaoana?
Huyo anayesrma sijitambui muulize yeye anayejitambua katendwa na wanaume wangapi... mpaka sasa hivi?
The secretary The secretary ! Hatujuani humu ndani potezeaga haya majambo banaa
Mimi nilishatoka zamani sana dogo...
Zamani mno
Hahahah!!!! duh kweli ni SISI WEREVU pekee ndio tutayashinda haya....
Rule numero uno: Usimakinike sana na kinachoandikwa wala kuzungumziwa hapa Chitchat, ikiwepo na thread hii.
Rule number two: Ukiwa hapa Chitchat wafanye watu wote ni marafiki wa muda tu, akiwemo hata C.T.U.
Rule number three: Ukiwa Chitchat usimwamini mtu yoyote zaidi ya "keyboard" yako, maana hapa hakuna uhalisia.
watu8 anawapenda friends wote ukiwemo wewe C.T.U , my slogan will stand to be true ever and ever
nimeshasema siwezi kumsema kwani nitakuwa ninavunja sheria ya jf kitu ambacho siwezi kukifanya
watu wangu walikuwapo huko kwenye whiteparty na waliniwakilisha na mchango watu wangu walichangia
Kakuoa?
Kama kakuoa sina tatizo na wewe
Kama hajakuoa
Unajivunia kuwa na bwana ambaye hajakuoa?
Unajitambua?
za kwangu nzuriiii mkuu, waliniletea baraa kule kwenye PM hadi nikala kona , nikaona mbona hii balaaa CC yenyewe hatujuani yanini kutoka povu
----- upi nilioongea na naomba unambie kwanini ni upupi?
Huhuhu ngoja atakuja ndio utajua nani atamua mwenzeka