Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mimi naona wenye influence zaidi ni wazaziUwezekano upo ila je upo tayari, maana swala la sherehe wenye influence zaidi ni wanawake...Atataka awatambie mashoga zake kuwa kaolewa auze sura kwa MC GaraB ndio aone kaolewa.
Mdogo wangu naona hutaki shida kabisa. 😅Nini sherehe, hivi hakuna uwezekano wowote hiyo ndoa tuifungie tu kabisa ndani, mfungisha ndoa akimaliza tumfungulie mlango atoke, halafu sisi tuanze zetu maisha mapya ya ndoa?? 😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Mimi mnyaki ambaye sherehe ipo damuni nacomment wapi?[emoji6][emoji6][emoji6]
Kwenye msiba nalia nagalagala afu harusi ndiyo ningefanya kimya kama nimeiba mume au naolewa ndoa ya 3?
Afu shemeji hujaspecify, sherehe unazoongelea ni zile za kutrend au hata zile ambazo labda mnakuwa na sherehe simple tu na ndugu wa pande zote 2 na friends wachache?
Ukishalipa mahari inafwata ndoa ya kanisani au msikitini kwa upande wa waislamu.kwamba naeza nkalipa mahari kisha tukaanza maisha yetu straight away?
Hutaki kuringishia mashoga zako bibie ?Mie natamani ndoa ya kimya kimya, kwa kifupi sipendi shughuli hata graduation zenyewe nakimbiaga [emoji3][emoji3]
Sasa suala la ndoa ukiwaambia ndoa itakua ya kimya kimya unaambiwa kwani umekua msiba huo
sijui kikombe hiki nitakiepuka vipi?
Nikiwa kama muweka hazina,kutoa shilingi 300 ni nyingi sana,itabidi kwanza niongee na Mwenyekiti ili aitishe kikao cha dharula,haya ni matumizi mabaya ya fedha,Soda ni anasa,kwani maji ya 100 hayapatikani siku hizi?Ndugu katibu mkuu Mnyatiaji kwa kweli kazi unayoifanya ni hadhina kubwa sanaaa
Kama mwenyekiti nimekukabidhi Hundi ya shilling 300 utapata mia hamsini
Na hiyo nyingne tutamnunulia Dada Carleen soda utamwambia mangi ela nyingine tunaiskilizia
Muweka hazina The Icebreaker naomba ufanye kazi hiyo kama muweka hazina uliyechaguliwa
Wenu mtiifu mwenyekiti uwabata
Kaka madenge
Dah..
KE wenye akili kubwa hivi mtandaoni wapo ila mtaani hakunaga[emoji849]
Yani hata kigelegele kisipigwe asubutuuuuukwahio bila sherehe we hujaolewa bado
Heri mie niliyefunuliwa kwako, wacha niendelee kusugua goti kabutton ka huko nako kaitike. Hivi DM ipo wazi eeh? [emoji848]Wapo wengi ila unahitaji macho ya rohoni kuwaona
Ha hahahaaha..Wapo wengi ila unahitaji macho ya rohoni kuwaona
Heri mie niliyefunuliwa kwako, wacha niendelee kusugua goti kabutton ka huko nako kaitike. Hivi DM ipo wazi eeh? [emoji848]
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Ha hahahaaha..
Haya bhana
Nini sherehe, hivi hakuna uwezekano wowote hiyo ndoa tuifungie tu kabisa ndani, mfungisha ndoa akimaliza tumfungulie mlango atoke, halafu sisi tuanze zetu maisha mapya ya ndoa?? [emoji23]
hahaha hata robo ya decade sijafikisha, born on late 90'sBorn 86 na bado hujaolewa
Nini sherehe, hivi hakuna uwezekano wowote hiyo ndoa tuifungie tu kabisa ndani, mfungisha ndoa akimaliza tumfungulie mlango atoke, halafu sisi tuanze zetu maisha mapya ya ndoa?? [emoji23]
Naona haina ulazima kufanya hvyo.Hutaki kuringishia mashoga zako bibie ?
Kasherehe kadogo tu , unaita ndugu, marafik na majiran kiasi tu mnapiga zenu ubwabwa mambo yameisha. Lkn ile kutoka kanisani turudi home moja kwa moja mwee hiyo hapana.Sherehe simple ndio ikoje? Ya kuweka walpaper la kijani lile na maua na viti plus majirani wachache na ndugu ama sherehe ya ma millioni ya kukomesha mashosti
Siipatii picha hiyo foleni yake PM.Uhusiano upo mkubwa tu....