Warembo wangu, upo tayari kufunga ndoa bila sherehe?

Uko na moto sana, ila mtasubiri hadi usiku ufike ndio muanze maisha ya ndoa.
Nini sherehe, hivi hakuna uwezekano wowote hiyo ndoa tuifungie tu kabisa ndani, mfungisha ndoa akimaliza tumfungulie mlango atoke, halafu sisi tuanze zetu maisha mapya ya ndoa?? [emoji23]
 
Ewaaaah.. sherehe muhim sana kama uwezekano upo.
Ila ile kupretend mimi siko ivo wala sihitaji kumbe in reality unataman kweli kushereheka.. hawa ndo ninawaongelea. Mdomoni wanajikana kabisa ili aonekane mtu flani ivi kumbe hakuna lolote.
Pretenders tuu..
Thanks ka ulinielewa mwanzo. Conclusion ilikua kamavile ka- insight to the point stated.
Hapo kwa Lulu sasaah.. [emoji847]
 
Niko Tayari bila kupepesa macho, achague yeye sasa.. tukitoka kufunga ndoa twende kazini au twenzetu home tukapige game
Binti chakorii,ngoja nije inboksi,kwa kuwa Mimi ni mwanachama wa umoja wa wanaume bahili Tanzania,(uwabata) nadhani tutaendana kabisa.
Enheee,mahari sh ngapi,nianze kujipanga?
 
Mie natamani ndoa ya kimya kimya, kwa kifupi sipendi shughuli hata graduation zenyewe nakimbiaga [emoji3][emoji3]
Sasa suala la ndoa ukiwaambia ndoa itakua ya kimya kimya unaambiwa kwani umekua msiba huo
sijui kikombe hiki nitakiepuka vipi?
Wewe unanifaa kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huo mfano mmh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

I seriously prefer this....
 
Dah😣
 
Ndiyo.
Mambo ya sherehe kuanikana ukumbini mara sijui wapi.. yaani hadi sherehe iishe kichwa chote kinawaka Moto.
Japo sherehe ina umuhimu na raha yake pia ...alika wanafamilia tu!mnakula vizuri basi imeisha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe weka maoni yako, utapendelea nini kati ya overcomplicated function ya mahela mengi for feeding your ego ama just ndoa kwako iwe basic tu
Maoni yangu hayo hapo juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…