Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
Kabisa ndugu yangu. Walikaa Sana tutawaacha wenyewe waanze lawama.Wawapishe mkamilishe utakatifu wa muungano mpya [emoji23][emoji23]
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa ndugu yangu. Walikaa Sana tutawaacha wenyewe waanze lawama.Wawapishe mkamilishe utakatifu wa muungano mpya [emoji23][emoji23]
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Mmmmh hatariMimi nataka bonge la sherehe ukumbi mlimani city, mapambo ml 4, gauni langu sio chini ya ml 5, tuseme 60ml for harusi then honeymoon iwe Dubai kwa mwez 1
Nini sherehe, hivi hakuna uwezekano wowote hiyo ndoa tuifungie tu kabisa ndani, mfungisha ndoa akimaliza tumfungulie mlango atoke, halafu sisi tuanze zetu maisha mapya ya ndoa?? [emoji23]
Ewaaaah.. sherehe muhim sana kama uwezekano upo.Nope nilikuelewa dear. Nimeshangaa tu hiyo conclusion yao kwamba mtu sipopenda sherehe basi automatically anakuwa wife material. Lulu hajafanya sherehe ila kafanya kufuru kwenye mavazi yake, so na yeye ni wife material kisa hakufanya sherehe? Kwa kweli kama mtu anapenda sherehe na uwezo anao, afanye tu sherehe kwa raha zake.
Binti chakorii,ngoja nije inboksi,kwa kuwa Mimi ni mwanachama wa umoja wa wanaume bahili Tanzania,(uwabata) nadhani tutaendana kabisa.Niko Tayari bila kupepesa macho, achague yeye sasa.. tukitoka kufunga ndoa twende kazini au twenzetu home tukapige game
Kwenye uislamu,hakuna ndoa ya mkeka,sema nilifunga ndoa isiyokuwa na vikolombwezo vingi.Nilifunga ya mkeka.
Wewe unanifaa kabisaMie natamani ndoa ya kimya kimya, kwa kifupi sipendi shughuli hata graduation zenyewe nakimbiaga [emoji3][emoji3]
Sasa suala la ndoa ukiwaambia ndoa itakua ya kimya kimya unaambiwa kwani umekua msiba huo
sijui kikombe hiki nitakiepuka vipi?
Ewaaaah.. sherehe muhim sana kama uwezekano upo.
Ila ile kupretend mimi siko ivo wala sihitaji kumbe in reality unataman kweli kushereheka.. hawa ndo ninawaongelea. Mdomoni wanajikana kabisa ili aonekane mtu flani ivi kumbe hakuna lolote.
Pretenders tuu..
Thanks ka ulinielewa mwanzo. Conclusion ilikua kamavile ka- insight to the point stated.
Hapo kwa Lulu sasaah.. [emoji847]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huo mfano mmh!Nope nilikuelewa dear. Nimeshangaa tu hiyo conclusion yao kwamba mtu sipopenda sherehe basi automatically anakuwa wife material. Lulu hajafanya sherehe ila kafanya kufuru kwenye mavazi yake, so na yeye ni wife material kisa hakufanya sherehe? Kwa kweli kama mtu anapenda sherehe na uwezo anao, afanye tu sherehe kwa raha zake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huo mfano mmh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naona kupenda ama kutopenda sherehe havina uhusiano kabisa na uwife material..Sasa wao sijui wanavihusianisha vipi!Mfano stahiki kabisa. Em watuache wapenda shughuli tuserebuke kwa amani
Ila we mdada unanifurahishaga Sana😅😅😅Nini sherehe, hivi hakuna uwezekano wowote hiyo ndoa tuifungie tu kabisa ndani, mfungisha ndoa akimaliza tumfungulie mlango atoke, halafu sisi tuanze zetu maisha mapya ya ndoa?? 😂
Mimi naona kupenda ama kutopenda sherehe havina uhusiano kabisa na uwife material..Sasa wao sijui wanavihusianisha vipi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote tunafahamu kuwa suala la ndoa ni jambo la heshima na baraka katika misingi ya kijamii na kiimani.
Swala la kufanya ndoa kama sherehe kubwa liko katika maamuzi na mapenzi ya wanandoa wenyewe japo linaweza chagizwa na wazazi ama walezi pia.
Leo nataka nipate tathmini kutoka kwa wachumba esp. wadada je, wewe upo tayari kufunga ndoa bila kuinvolve sherehe?
Wewe weka maoni yako, utapendelea nini kati ya overcomplicated function ya mahela mengi for feeding your ego ama just ndoa kwako iwe basic tuMimi naona kupenda ama kutopenda sherehe havina uhusiano kabisa na uwife material..Sasa wao sijui wanavihusianisha vipi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah😣Ukweli ni kwamba, wanaopenda sherehe mara nyingi ni wazazi, ndugu, jamaa na marafiki!
Wewe unaweza ukawa unataka kufanya kimyakimya, ukiwaeleza wazazi, kaka/dada, mashangazi nk wote wanakujia juu mara "ooh, sisi tumeshachangia watu wengi sana, hutaki na wao watuchangie? Tutaelewekaje uoe ata tusialike marafiki zetu/jamaa/vikundi vyetu vya kusaidiana/jumuia/wafanyakazi wenzetu nk?" "Utaoaje kimyakimya kama vile hauna ndugu/watu wa karibu?" "We usijali tuachie sisi kila kitu tutashughulikia..!!"
Maoni yangu nishayaweka huko juu..Wewe weka maoni yako, utapendelea nini kati ya overcomplicated function ya mahela mengi for feeding your ego ama just ndoa kwako iwe basic tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakwendreeeeeee [emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126]
Ndiyo.
Mambo ya sherehe kuanikana ukumbini mara sijui wapi.. yaani hadi sherehe iishe kichwa chote kinawaka Moto.
Japo sherehe ina umuhimu na raha yake pia ...alika wanafamilia tu!mnakula vizuri basi imeisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishalipa mahari inafwata ndoa ya kanisani au msikitini kwa upande wa waislamu.
Ili Mungu abariki.
Ila Sasa wazazi huwa wanajisikia fahari sana kuona mwanae ameoa au ameolewa..hawawezi wakawaacha ipite bure yaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maoni yangu hayo hapo juuWewe weka maoni yako, utapendelea nini kati ya overcomplicated function ya mahela mengi for feeding your ego ama just ndoa kwako iwe basic tu