Kwa wasabato kwaya haimilikiwi na mtu binafsi, humilikiwa na kanisa.Ninachojua moja kati ya watu poa sana hawana maringo na wanapesa ya kutosha ni mmiliki wa hiyo kwaya Bwana Waziri,ni mtu asiye na maringo kabisa,na anaongea na kila mtu.Ameamua kujitolea fedha zake kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji.La sivyo angeweza kufungua bar,au kuwekeza kwenye vitu vinavyopoteza zaidi waimbaji.
Mwalimu wa kwaya simfahamu................siwezi sema lolote
Dada kaandika kumaanisha nini? Maana nimesoma nimetoka kapaHajui hata kuandika kazi umbea tu..wanaitwa Light bearers!wanaimba vzr sana sana
Kama ilivyo kwa Dhehebu flani Viongozi wao kutatua Watoto wa Waumini wao marinda!Kupigana miti kwa Hilo dhehebu Ni Jambo la kawaida Sana. kuanzia kwenye kwaya mpaka kwenye makambi. uchafu mtupu. Nachochea kuni huenda anachokisema mtoa mada kina ukweli Ila ameshindwa kuweka ushahidi.
Asee naomba unisaidie njia rahisi ya kupata audios za Golden Gate kiswahili kuanzia 1990 kurudi nyuma. Kama utakuwa unazifahamu.Sio kweli mkuu, golden gate wengi walifariki kwa car accident.
SAsee naomba unisaidie njia rahisi ya kupata audios za Golden Gate kiswahili kuanzia 1990 kurudi nyuma. Kama utakuwa unazifahamu.
Hata kama ana hoja za msingi kiasi gani....wakristo hawa operate hivyo...kwa kuanika madhaifu ya ndugu zao ktk imani tena mtandaoni. Alipaswa kuwaona kwanza.I think mwenye huu uzi yy ana hoja zake za msingi so tusimpuuze, even though wazo lako ni jema pia
Kabisa Mkuu me pia ni muadventista kama kuna hitilafu iangaziwe,iondolewe na isafishwe,kulea na kutaka kuficha mambo ya kipuuzi kisa tu yanagusa moja kwa moja imani au dhehebu letu,hailifanyi kuwa chafu bali inalifanya kuwa nyumba ya maovu na machukizo,sio kwa watu tu hata mbele za M.Mungu.
Mm nina picha mpaka conversion za huyo Mwalimu wenu, sasa ww unasema majungu 100% lete fact
Ss hizo convo si upeleke kwa mchubgaji au mzee wa kanisa??huku unahis unapata nn?yaan ww msabato jina tu