Wasabato kaeni macho na hii kwaya

Wasabato kaeni macho na hii kwaya

Status
Not open for further replies.
Halafu ikatokea unaishi na mwanaume bila ndoa watakavyokunyanyapaa hutapewa hata kazi ya kupanga viti kanisani. Kumbe wameficha midhambi Yao kwenye kujifanya waimbaji na kutoa mimba.
Ukweli mnaaibisha kanisa la Mungu. Kama Lekundayo na wenzako hamtakemea haya na kuifunga hiyo kwaya Kama mlivyofanya kwa kwaya ya muungano basi nitajua Hali imekuwa tete. Simamieni maadili km mnavyosimamia na kusisitiza makusanyo ya zaka na sadaka
Hii haikupi uhalali wa kuishi na mwanaume bila ndoa, unachofanya ni uzinzi tu.
Uzinzi wa mtu fulani hauhalalishi kuwa na wengine nao waingie kwenye uzinzi.
Kama umewekewa vikwazo kwa sababu ya uzinzi wako hiyo ni halali kabisa, acha uzinzi vikwazo viondolewe.
 
Si kweli, mleta mada ana wivu tu. Kakemewa huko kanisani kwake kuwa aache uzinzi, badala ya kuacha uzinzi analeta habari feki za kuchafua kanisa

Weee endelea kuhisi hivyo ila viongozi wako wameshafanyia kazi
 
Ndio Jerusalem uleee, ........ Wametameta ule umefika hatari sana ... ngoma zao ninazo kwenye ka pc kangu kalikokufa
Yaan huwa naziskia radio moja nakumbukia utoto wangu naupenda ule unaimba..twaimba tumejaa furaha ....Yesu kristo ni bwana wa mabwana tunafuraha kwaajili ya aman tulopewa[emoji4][emoji4][emoji4]..sauti tamu mno!ndo maana mm mtu aniletee cd ya Bon mwaitege namwambia kauze tu .aliwah niletea hubby cd ya bon ya wimbo wa mama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!ukwel nilimwambia rudisha tu[emoji6]!hao kina rose waaruka km sarakasi hapana aisee
 
😂 😂 Sio mm, mm nimchangiaji tu, mm alivyomtongoza mke wangu nilimfata mwenyewe huyo Mwalimu na anajua nn kilitokea
Ala! Kumbe una bifu ya kutongozwa mkeo. Si ungesema tangu mwanzo unalia wivu? Mkanye mkeo tu, mwambie akitongozwa akatae na asikwambie!

Labda u mgeni sana kwenye ndoa na inawezekana u mchanga sana pia. Nikufahamishe tu kuwa ni jambo la kawaida sana mwanamke kutongozwa, ila kukubali ni tatizo lake. Ulitaka mkeo asitongozwe, mbona unamtakia depression? Wanawake hutongozwa, lakini hutumia uadilifu wao kukataa. Na mwanamke akikutajia wote waliowahi kumtongoza utaweza kuvumilia? Kama mkeo alikuambia ametongozwa ujue kuna walakini.
 
Na kamyonge huku juu juu ulikuwa hufiki bosi?
sauti ya huruma ikaniita,kwanini waniacha hapa msalabani,Mwokozi yupo mlangoni,Neno la Bwana Yesu na Nikikumbuka huruma yako! Nimemis sana hizo nyimbo nilizisikia nikiwa bado Mdogo wakati huo kila J'mos tulikuwa tunaenda kusali Mwisenge Sda pale Asee!
 
Ala! Kumbe una bifu ya kutongozwa mkeo. Si ungesema tangu mwanzo unalia wivu? Mkanye mkeo tu, mwambie akitongozwa akatae na asikwambie!
Labda u mgeni sana kwenye ndoa na inawezekana u mchanga sana pia. Nikufahamishe tu kuwa ni jambo la kawaida sana mwanamke kutongozwa, ila kukubali ni tatizo lake. Ulitaka mkeo asitongozwe, mbona unamtakia depression? Wanawake hutongozwa, lakini hutumia uadilifu wao kukataa. Na mwanamke akikutajia wote waliowahi kumtongoza utaweza kuvumilia? Kama mkeo alikuambia ametongozwa ujue kuna walakini.

Sijiu una umri gani, au una elimu gani, wala jinsia gani, ila mtu kama ww ndio ukimpeleka mtoto wako shule ya bweni akapewa mimba na mwalimu nadhani utaongea maneno hayo hayo

Kumbuka kuna wazazi ambao wanatoa bint zao kwenda kujiunga na kwaya kwa maana ya kuwaweka kwenye uwepo wa Mungu Then mlezi mwenye miaka 50plus anawarubuni ww unadhan wanajisikije?
 
Kwahiyo unamfananisha mkeo na mtoto wa shule ya bweni? Au umeoa mtoto?
 
Kwahiyo unamfananisha mkeo na mtoto wa shule ya bweni? Au umeoa mtoto?

Nafananisha Kwaya na shule, kwasababu wale wanasafiri pamoja, wakirekod wanalala studio, maana yake lazima kuwe Na usimamizi mzuri, na watu wanatoa wake zao na watoto wao kwa vile ni eneo la Mungu, So jaribu kuwaza mara mbili
 
Mke sio mtoto. Elewa hilo kwanza.
 
Save hii comment yako ukioa baada ya miaka preview hii comment halafu uje kusema tena unawajua vzr wanawake??

Mkuu unadhan natania?kuchapiwa mke ni uzembe wa mume....ukiona mkeo achepuka shida iko kwako!nimemaliza mm!
 
Mke wangu hawezi kuimba kwaya hata siku moja, sitamruhusu.

Ila ww una pepo!mimi jnimewahi imba kwaya sema ni vijijin hakukuwa na hizo ishu..mayb coz nilikua bado mtoto!unapepo..mkataze pia asifanye kazi yyt akae tu hom..mkataze asiend ht kikoba hta kanisani mtumish...!yule akeshaye akesha bure!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom