Maarifa
JF-Expert Member
- Nov 23, 2006
- 4,568
- 2,918
Ralph Tyler,
akuna aliyebakia wametafunwa na ........... wote? dahhh kazi kwelikweli
akuna aliyebakia wametafunwa na ........... wote? dahhh kazi kwelikweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii haikupi uhalali wa kuishi na mwanaume bila ndoa, unachofanya ni uzinzi tu.Halafu ikatokea unaishi na mwanaume bila ndoa watakavyokunyanyapaa hutapewa hata kazi ya kupanga viti kanisani. Kumbe wameficha midhambi Yao kwenye kujifanya waimbaji na kutoa mimba.
Ukweli mnaaibisha kanisa la Mungu. Kama Lekundayo na wenzako hamtakemea haya na kuifunga hiyo kwaya Kama mlivyofanya kwa kwaya ya muungano basi nitajua Hali imekuwa tete. Simamieni maadili km mnavyosimamia na kusisitiza makusanyo ya zaka na sadaka
Si kweli, mleta mada ana wivu tu. Kakemewa huko kanisani kwake kuwa aache uzinzi, badala ya kuacha uzinzi analeta habari feki za kuchafua kanisaNdiyo hao hakuna aliyebakia wametafunwa na ........... wote? dahhh kazi kwelikweli
Mke wangu hawezi kuimba kwaya hata siku moja, sitamruhusu.
Si kweli, mleta mada ana wivu tu. Kakemewa huko kanisani kwake kuwa aache uzinzi, badala ya kuacha uzinzi analeta habari feki za kuchafua kanisa
Nazijua kwaya vizuri mkuu, niliimba nikiwa A-level. Sehemu yoyote yenye mkusanyiko wa me na ke lazima watu wachapane tu.[emoji23] [emoji23] Why wakati pale ni sehemu ya upako wa Mungu?
unajitekenya na kucheka mwenyewe!Weee endelea kuhisi hivyo ila viongozi wako wameshafanyia kazi
unajitekenya na kucheka mwenyewe!
Yaan huwa naziskia radio moja nakumbukia utoto wangu naupenda ule unaimba..twaimba tumejaa furaha ....Yesu kristo ni bwana wa mabwana tunafuraha kwaajili ya aman tulopewa[emoji4][emoji4][emoji4]..sauti tamu mno!ndo maana mm mtu aniletee cd ya Bon mwaitege namwambia kauze tu .aliwah niletea hubby cd ya bon ya wimbo wa mama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!ukwel nilimwambia rudisha tu[emoji6]!hao kina rose waaruka km sarakasi hapana aisee
Ala! Kumbe una bifu ya kutongozwa mkeo. Si ungesema tangu mwanzo unalia wivu? Mkanye mkeo tu, mwambie akitongozwa akatae na asikwambie!😂 😂 Sio mm, mm nimchangiaji tu, mm alivyomtongoza mke wangu nilimfata mwenyewe huyo Mwalimu na anajua nn kilitokea
sauti ya huruma ikaniita,kwanini waniacha hapa msalabani,Mwokozi yupo mlangoni,Neno la Bwana Yesu na Nikikumbuka huruma yako! Nimemis sana hizo nyimbo nilizisikia nikiwa bado Mdogo wakati huo kila J'mos tulikuwa tunaenda kusali Mwisenge Sda pale Asee!
Aiseee
Mwisenge SDA
Karibu na Veta.
Shule ya Nyerere
Njia ya kuelekea Majita Road
Mwisenge Madukani.
Makoko
Ala! Kumbe una bifu ya kutongozwa mkeo. Si ungesema tangu mwanzo unalia wivu? Mkanye mkeo tu, mwambie akitongozwa akatae na asikwambie!
Labda u mgeni sana kwenye ndoa na inawezekana u mchanga sana pia. Nikufahamishe tu kuwa ni jambo la kawaida sana mwanamke kutongozwa, ila kukubali ni tatizo lake. Ulitaka mkeo asitongozwe, mbona unamtakia depression? Wanawake hutongozwa, lakini hutumia uadilifu wao kukataa. Na mwanamke akikutajia wote waliowahi kumtongoza utaweza kuvumilia? Kama mkeo alikuambia ametongozwa ujue kuna walakini.
Kwahiyo unamfananisha mkeo na mtoto wa shule ya bweni? Au umeoa mtoto?Sijiu una umri gani, au una elimu gani, wala jinsia gani, ila mtu kama ww ndio ukimpeleka mtoto wako shule ya bweni akapewa mimba na mwalimu nadhani utaongea maneno hayo hayo
Kumbuka kuna wazazi ambao wanatoa bint zao kwenda kujiunga na kwaya kwa maana ya kuwaweka kwenye uwepo wa Mungu Then mlezi mwenye miaka 50plus anawarubuni ww unadhan wanajisikije?
Kwahiyo unamfananisha mkeo na mtoto wa shule ya bweni? Au umeoa mtoto?
Mke sio mtoto. Elewa hilo kwanza.Nafananisha Kwaya na shule, kwasababu wale wanasafiri pamoja, wakirekod wanalala studio, maana yake lazima kuwe Na usimamizi mzuri, na watu wanatoa wake zao na watoto wao kwa vile ni eneo la Mungu, So jaribu kuwaza mara mbili
Kuna radio iko moro huwa wanazipiga baadhi..nadhan u tube uko mmoja piaNdio Jerusalem uleee, ........ Wametameta ule umefika hatari sana ... ngoma zao ninazo kwenye ka pc kangu kalikokufa
Save hii comment yako ukioa baada ya miaka preview hii comment halafu uje kusema tena unawajua vzr wanawake??
Mke wangu hawezi kuimba kwaya hata siku moja, sitamruhusu.