Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

Mgombea ubunge kwa tiketi ya ccm 2025 atakayejaribu kulitaja jina la Samia akiwa jukwaani atapopolewa na mawe kama Zuchu alivyopopolewa kule Mbeya baada ya kusema "Samia mitano tena"
 
naona kwa sasa CHADEMA mmechanganyikiwa kabisa na kupoteza uwezo wa kufikiri kabisa.

Mama yetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ndiye aliyefanikisha Ushindi wa Dkt Tulia Ackson Mwansasu kuwa RAIS wa umoja wa Mabunge Duniani.

Ni mama yetu Mpendwa na Nyota ya Matumaini na shujaa wetu Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan aliyefanikisha Ushindi wa Dkt Faustine Ndugulile kuwa mkurugenzi Mkuu wa shirika la Afya Duniani kanda ya Afrika. Bila Rais Samia hakuna ambaye angeshinda katika wagombea wote hao.

Rais Samia akikuwekea mkono wake na kukupatia baraka zake ni lazima upite tu.Mama anakubalika ndani na nje ya Nchi
Your browser is not able to display this video.
 
Akina Jenista Mhagama wasiokuwa na maelezo mengine jukwaani zaidi ya maneno "mitano tena" na kugalauka mchangani wajiangalie.
Ila yule mama ana Nyota aisee. Hatumii nguvu kwenye mambo yake.
 
Ila Mbeya kuna ule ushamba flani kama wa kwenye vitongoji vinavyokuwa,pamewahi sana kupewa hadhi ya jiji
 
Ila Mbeya kuna ule ushamba flani kama wa kwenye vitongoji vinavyokuwa,pamewahi sana kupewa hadhi ya jiji
Mbeya ni washamba sana.... Vitu vingi vizuri kama Uchawa na ushoga hawavitaki kabisa..
 
Sidhani kama utamuona hapa maana muda huu anabubujikwa na machozi.
 
Mkuu haumjui mke wa P. Didy, upo dunia gani?
Kila mtu anamjua mke wa P. Didy wa Bongo ni nani😄😄😜😜
 
Kwahiyo mimi kuwa chawa ndio wewe unashindwa kuitoa ccm? pigeni mawe polisi wa ccm acheni kuleta ubabe mavi kwa mtoto wa kike
Kama anaipenda sana siasa aachane na muziki, Mitano tena nyoro yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…