Wasaidizi wa kazi kutembea na Baba wenye nyumba kuna madhara. Dada wa Arusha apokonyea Mwili wa marehemu

Kwani kahaba zinasikia basi, mifano kila leo ila kupe kwa mume za watu zimeganda kama ruba! Si ajabu hiyo beki tayza ili mfix mwamba kimazingara, kwa pumpum gan ujengewe bana? Umalaya tu.. u reap what u sow.
Mwanaume yeye sio malaya. Yeye ndie kasababisha yote hayo. Tajiri mzima unawezaje kutembea na house girl nq kuzaa naye kabisa
 
Tajiri wa madini hajaenda shule. Hivyo wanawake zake ndio hao ambao hawajaenda shule kama yeye.

Hata huyo mke wake kiakili ni kama house girl tu. Tofauti yeye aliolewa kanisani
Hahahah. Vita itakuwa kama ya kina marehemu Msuya hii.
 
Kwani huyo dada alibakwa mpaka kuzalishwa mara mbili?!

Marehemu na huyo ex maid wote wanawajibika.

Hawakujiheshimu wala kuheshimu mipaka yao na wale waliowazunguka.
Wote hawakuwa wanajiheshimu. Ila marehemu naye ,uzae na house girl watoto sijui wawili? Ona kaacha migogoro nyuma.
 
Hahahah. Vita itakuwa kama ya kina marehemu Msuya hii.

Matajiri wote wa madini ni watu ambao hawajaenda shule. Ni kama wale kina Bilionea laizer mmasai.

Huwezi kwenda shule ukawa tajiri. Maana shule inakufunga kiakili uwe muoga ku take risk

Ni sawa na Wakinga huwa wanaishia la saba tu. Kisha wanaanza kuutafuta utajiri.
 
Mfano huyo mwanaume angefanya yote hayo na akafa bila kuacha mali au pesa je mwili wa marehemu ungegombaniwa?.


Mimi Babu alipokufa akuacha Mali yoyote.

Msiba ulipoisha ikatumwa barua kutoka kwa Balozi kuwa Marehemu aliacha PESA nyingi bank Ila alisema zitumike kusomesha watoto .
 
Aa wapi. Huwajua wabongo wewe.
 
Kauli mbiu iendelee kuwa
Kitasa cha mlango wa chumba cha dada wa kazi tutakirekebisha kesho.

Kesho ikifika inakua kesho
 
Wa Kristo wana wake wa ngap?
Mke ni mmoja ila kama baba alikengeuka nje ila watoto akawaleta kuwatambulisha nyumbani serikali inatambua ilo ila hawatakuwa in favour kama wa mke wa ndoa. Kipaumbele kinaanza na mke wa ndoa na watoto wake wanafata watoto wa nje. Ila kama mke wa ndoa hakufanikiwa kupata mtoto wa kiume basi mtoto wa nje wa kiume atakuwa unfavourable kwa watoto wa kike kwa mke wa ndoa.
 
Hao ndugu wa mume ambao walikuwa wanataka kumzika ndugu yao bila kumshirikisha mke wake; ndiyo wangeandika muhtasari na kumpitisha mke wa marehemu kama msimamizi kwa urahisi tu? Ndiyo hao atawategemea kumsaidia kulea watoto wake? Ndugu wakigoma kukaa kikao; mahakama itampa tu mke go ahead; ni mke halali.

Sio kwamba mke anapigania mali; ni haki yake kabisa na watoto wake.
Hao ndugu wenye tamaa ndiyo waliomdanganya house girl; wakihisi labda wataambulia chochote kupitia house girl. Na hii issue inatokea mara nyingi tu; mume anapokuwa na watoto kwa wanawake wengine. Most of times ndugu wa mume huwa wana-side na michepuko na sio mke; na huwa close na watoto wa mchepuko kuliko wa ndoani.
*Mke na aheshimiwe na ndugu wa mume.
*Wanaume muache kuzaa hovyo;
*Na ndugu wa mume muache tamaa kwenye mali za wajane. Mnatia aibu
 
Binadamu wanapenda vya bure. Lakini sababu za mume kuzaa nje wakati mwingine husababishwa na kiburi, dharau na kutowajibika kwa mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…