pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
Ni washenzi na wapumbavu tu.Ndugu wa mume ni janga la kitaifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni washenzi na wapumbavu tu.Ndugu wa mume ni janga la kitaifa.
Wanahusika vizuri sana. Na bila huo muhtasari, hakuna mirathi inafunguliwa.Ukoo wa mume unahusikaje.
Mwanaume yeye sio malaya. Yeye ndie kasababisha yote hayo. Tajiri mzima unawezaje kutembea na house girl nq kuzaa naye kabisaKwani kahaba zinasikia basi, mifano kila leo ila kupe kwa mume za watu zimeganda kama ruba! Si ajabu hiyo beki tayza ili mfix mwamba kimazingara, kwa pumpum gan ujengewe bana? Umalaya tu.. u reap what u sow.
Mwanaume yeye sio malaya. Yeye ndie kasababisha yote hayo. Tajiri mzima unawezaje kutembea na house girl nq kuzaa naye kabisa
Kwani huyo dada alibakwa mpaka kuzalishwa mara mbili?!Mwanaume yeye sio malaya. Yeye ndie kasababisha yote hayo. Tajiri mzima unawezaje kutembea na house girl nq kuzaa naye kabisa
Hahahah. Vita itakuwa kama ya kina marehemu Msuya hii.Tajiri wa madini hajaenda shule. Hivyo wanawake zake ndio hao ambao hawajaenda shule kama yeye.
Hata huyo mke wake kiakili ni kama house girl tu. Tofauti yeye aliolewa kanisani
Wote hawakuwa wanajiheshimu. Ila marehemu naye ,uzae na house girl watoto sijui wawili? Ona kaacha migogoro nyuma.Kwani huyo dada alibakwa mpaka kuzalishwa mara mbili?!
Marehemu na huyo ex maid wote wanawajibika.
Hawakujiheshimu wala kuheshimu mipaka yao na wale waliowazunguka.
Hahahah. Vita itakuwa kama ya kina marehemu Msuya hii.
Aa wapi. Huwajua wabongo wewe.Mfano huyo mwanaume angefanya yote hayo na akafa bila kuacha mali au pesa je mwili wa marehemu ungegombaniwa?.
Mimi Babu alipokufa akuacha Mali yoyote.
Msiba ulipoisha ikatumwa barua kutoka kwa Balozi kuwa Marehemu aliacha PESA nyingi bank Ila alisema zitumike kusomesha watoto .
Mke wa ndoa ata kama ameachika watamtafta popote na watoto wakeMke wa ndoa akiwa wapi?? What if watoto bado wanasoma
Kwa sababu ndo anaendeleza ukoo unless otherwise marehemu awe hajaacha mtoto ye yote wa kiume.Sheria ya mirathi ndio inasema hivi? Mtoto wa kiume? Kwanini??
Mke ni mmoja ila kama baba alikengeuka nje ila watoto akawaleta kuwatambulisha nyumbani serikali inatambua ilo ila hawatakuwa in favour kama wa mke wa ndoa. Kipaumbele kinaanza na mke wa ndoa na watoto wake wanafata watoto wa nje. Ila kama mke wa ndoa hakufanikiwa kupata mtoto wa kiume basi mtoto wa nje wa kiume atakuwa unfavourable kwa watoto wa kike kwa mke wa ndoa.Wa Kristo wana wake wa ngap?
Hao ndugu wa mume ambao walikuwa wanataka kumzika ndugu yao bila kumshirikisha mke wake; ndiyo wangeandika muhtasari na kumpitisha mke wa marehemu kama msimamizi kwa urahisi tu? Ndiyo hao atawategemea kumsaidia kulea watoto wake? Ndugu wakigoma kukaa kikao; mahakama itampa tu mke go ahead; ni mke halali.Na kama huyo mke hatakaa vizuri na ndugu, muhtasari kuupata inakuwa kimbembe. Hizi mali zitaua watu. Malumbano yote hayo ni sababu aliyekufa ni yajiri, angekuwa kapuku, hata michango ya msiba inausua sua, na watu wakizika tu hakuna anayetaka hata kujua watoto wa marehemu watasaidiwaje
Sikaki mali ya mtu mimi. Vya kwangu vinanitosha.
Si hilo tu. Pia inaonekana yeye ni jinsi a ya kike, kwani mwanamme hawezi mshambulia housegirl hivyoUnaonekana kabisa upo upande gani. Anyway, mali za watoto wa housegirl ndio mali zake. Kwani ye mjinga?
Binadamu wanapenda vya bure. Lakini sababu za mume kuzaa nje wakati mwingine husababishwa na kiburi, dharau na kutowajibika kwa mke.Arusha Mfanyabiashara tajiri wa mawe ndugu Temu amefariki dunia na kuacha kizaazaa nyuma. Bwana huyo ana migodi, magari sita, mashamba, majumba na mahoteli na maviwanja.
Alioa mke aitwae Yasinta ndoa ya kanisani.
Akazaa nae watoto 5 Kama kawa huko chuga hawa mabilionea hua wanapenda chovyachovya.
Baba akazaa nje mtoto wa kwanza akaleta home mke alee, akanogewa akazaa mwingine tena akapeleka nyumbani mkewe alee. Mke akawa hana namna. Kiroho safi analea.
Mke nae amezaa watoto watano tena mmoja mchanga, ukijumlisha wawili wa baba wanakuwa saba.
Mama akaleta housegirl, baba alivyo na tamaa akaanza kutembea na housegirl mpaka akapata mimba. Baba akamfanya mke mdogo, akamjengea na akazaa naye watoto wawili. Yule housegirl ndo akawa na nguvu, mke mkubwa akawa anadharauliwa.
Mke kikawa kinamuuma lakini sasa ndo ashazaa watoto watano akaamua avumilie.
Mara paaap, tajiri kaumwa. Kapelekwa Muhimbili, kwa mapenzi ya Mungu akatwaliwa. Picha ndo ilianzia hapo, mke mkubwa akafika Muhimbili akashangaa anaambiwa na binamu wa mume eti kaa pembeni tutasimamia Mali za watoto na haki zao, akashangaa kiajee Sasa? Lakini kwavile yeye ndo mwenye cheti Cha ndoa akakabidhiwa mwili na cheti cha kifo.
Soma Pia: Arusha: Mfanyabiashara wa madini auawa mlima wa maombi, wauwaji watuma meseji
Ndugu na jamaa na marafiki wakaleta mwili Arusha mochwari ya Mt meru. Mke mkubwa akaelekeza mume azikwe wapi.
Sasa ndugu, marafiki na mke mdogo wakapanga pa kuzika na wakamweka kando bi mkubwa.
Siku ya kuzika bi mkubwa akaingia mahakamani kwa hati ya dharura kuomba zuio na akafanikiwa, issue ilikuwa serious kaburi lishachimbwa, mapadre ikabidi wakafanye Dua pale ya kufunga kaburi tupu na Ile pilau ya msiba wadudu waliifakamia sana.
Sasa leo amri imetolewa na mahakama mke halali amzike mume wake... Housegirl na wale ndugu hawaamini kilichotokea. Eti ndugu na marafiki wanapanga kususia maziko.
Na mke mkubwa amesema mume wangu ni mkristu na ana mke mmoja tu. Akimaliza kuzika anakusanya mali za mumewe baada ya kufungua mirathi.
Housegirl ataambulia simu na cheni za marehemu na nguo..ambazo hata hivyo bi mkubwa anaulizia vipo wapi. Housegirl amegeuka suria..ila wanae watapata mgao wa mali
Wadada wa kazi mnapoenda kufanya kazi kwenye nyumba za watu acheni tamaa kwani hamjui baba na mama wameanzia wapi na wamesotaje kupata mali. Pia ndugu na marafiki acheni upumbavu wa kuingilia mali za marehemu ikiwa ana mke na watoto