1.4M views ni ndogo? umelewa ama compare na msanii wenu wakazi mwaka mzima ana 12kEndeleeni kumsapoti mwanasisisemu mwenzenu ,kabla ya kuwasusia ndani ya siku mbili alikuwa na 1.4M views? Unaweza ukaona labda nyingi kumbe haujafanya comparison.
Mungu ni mwema,Uko shwari ndugu?
Unataka kusemaje?1.4 m views, likes 22k.. Na kwenye trending inazidiwa na Rose Muhando ambaye hata 500k views hana
Unajua hata kufanya digital analysis
Watz walijua ni promo za Vodacom hizo.Nenda hapo juu ishawekwa chawa
Ukipita watakuwa choka mbayaNi upepo tu nao utapita!!
Conscious rappers ,conscious MCs huwafitiliwa na Brains tu na watu wenye akili ni wachache compared na Zero Brains! Ma Zero Brains wanafatilia vitu vya hovyo hovyo so sishangai Marioo akawa na viewers wengi kuliko Wakazi.1.4M views ni ndogo? umelewa ama compare na msanii wenu wakazi mwaka mzima ana 12k
DANGANYA totoyaaani mpaka wakome
View attachment 3517048
Robots wale washa mdaka KULE, akadanganye watotoConscious rappers ,conscious MCs huwafitiliwa na Brains tu na watu wenye akili ni wachache compared na Zero Brains! Ma Zero Brains wanafatilia vitu vya hovyo hovyo so sishangai Marioo akawa na viewers wengi kuliko Wakazi.
Back stage msanii ana perform, una matatizo mkuuUnge record 360° halafu ndio tufanye uchambuzi wa comment yako, sasa hapo ni backstage mkuu, ni angle mmoja au tuseme 45°
Robots wale kawadanganye akili kisoda wenzako wazeee wa akili Sina mwili nina1.4M views ni ndogo? umelewa ama compare na msanii wenu wakazi mwaka mzima ana 12k
kama hujui kitu tuliza uparaRobots wale kawadanganye akili kisoda wenzako wazeee wa akili Sina mwili nina
vilio mpaka viisheDANGANYA toto
rubbishConscious rappers ,conscious MCs huwafitiliwa na Brains tu na watu wenye akili ni wachache compared na Zero Brains! Ma Zero Brains wanafatilia vitu vya hovyo hovyo so sishangai Marioo akawa na viewers wengi kuliko Wakazi.
Sawa bonge la dada nieleweshe mnenguajikama hujui kitu tuliza upara