kwa wenye maarifa hakuna cha ajabu hapo
Vodacom hawatangazi kwamba leo watakuja kufanya shoo mtaani kwenu
Badala yake huja na kuweka speaker na kuanza kupiga/kuimba; Baada ya kama nusu saa watu huwa wamejaa
Sasa wewe ukichukua video wakati ndio wamewasha speaker lazima itakuwa hivyo.
Kama umefuatilia; kwa kila mtaa hufanya shoo ya takribani masaa mawili au matatu huku nusu saa ni ya kuita watu baada ya hapo huanza matangazo....