Wasanii toka Arusha acheni kujibagua na kupigania mkoa badala ya taifa

We' vipi? Hivi unaelewa unachoongea kweli? Muandiko mbovu, mpangilio mbovu, logic 2%. Tuna-fight kutokomeza ukanda halafu wewe unaleta ukanda tena. Acha uduanzi!
 
Kwan tuna nn mkuu mbna tunasalitiana tena
 

Pia watu wa kaskazini wakiandika wanaweka nukta.
 
Kinacho wafanya muone watu wa kaskazini tuna ubaguzi ni upendo tulio nao baina yetu katika utafutaji.
Hata wewe unatakiwa uwe hivyo hivyo ukifanikiwa ukawa na biashara zako waajiri ndugu zako kama wana taaluma ya kufanya hiyo kazi na uwalipe stahiki zao ili nao uwainue maana hautafanikiwa ikiwa unanufaisha watu baki na kuwashusha ndugu zako.
Lakin pia hata ufanye hivyo huwezi ukafanikiwa ikiwa hamjalelewa katika misingi ya upendo, mtabaki kusema tu ule msemo wenu wa
"kuliko kumsaidia ndugu Bora umsaidie mtu baki"

sisi huku kwetu kaskazini hamna hyo mzee hata tukikutana mikoa ya kanda zingine tukigundua tu tumekutana watu wa kanda moja palepale tunaanzisha urafiki na kuulizana unafanya mishe gani? ikiwa ni kuosha magari kama na mwenzangu Hana mishe ntamkaribisha aje tuoshe wote magari, ikiwa Mimi naosha magari yeye anamiliki gari ataniletea kila likichafuka nilioshe ili tugawane rizki huo ni upendo na haifai tupigwe vita.
 
Hataaa, nimetaka kujua kwa nini umeweka picha wakati haina uhusiano na matakwa ya thread! Nikisema its a wrong position nitakuwa nakosea?
No si mm niliyeweka Ila nmekusoma toka juu unaonekana una chuki zako binafsi mbona tupo poa tu hasa sisi wachaga
 
Mleta mada wewe ndio mbaguzi na unajihisi kubaguliwa kumbe sivyo just boost ur self esteem.
Mbona kwa miaka mingi umeonekana ni member mwenye akili timamu, kwanini unataka kupoteza heshima yako ghafla?
 
Mnalalamikia wasanii utasema hizo show wanapanga wao, bro Kama unataka watu kushare stage moja andaa show weka kibunda kama alivyofanya huyo bilionea wa Nigeria alafu uone kama huyo Ali na Diamond hawatoshare stage moja, Alafu kuhusu beef kwenye mziki it's normal kwa kuwa inaleta ushindani ambao unaleta challenge kwa wasanii kufanya kazi nzuri na pia kutengeneza attention kwa mashabiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…