Wasanii toka Arusha acheni kujibagua na kupigania mkoa badala ya taifa

Wasanii toka Arusha acheni kujibagua na kupigania mkoa badala ya taifa

Taja hyo tahasisi mbona waogopa taja tuwajue mnk watu wa kazkazni c wajinga Wala wapuuzi hat kidgo na mm nimefanya Kaz na watu tofauti ndio nilikutana nao walisalimu amri kwa kuiga juhud na maharifa zangu katka kutafuta pesa ...kazikazi watu wanaakili siyo tu ya darasana hata kimaisha tumewapita parefu sana
We' vipi? Hivi unaelewa unachoongea kweli? Muandiko mbovu, mpangilio mbovu, logic 2%. Tuna-fight kutokomeza ukanda halafu wewe unaleta ukanda tena. Acha uduanzi!
 
Alfu washukuru mungu jpm alivyoingia madarakan mnk kwa kipindi Cha nyuma kidogo kazikazini . Ilikuwa inatoa zaid mawaziri Tena wizara nyeti kbsa kutoka kazikazin achilia mbali mawaziri wakuu Ni wakuu wa idara nyeti ...mm natokea kazikzani ila chonde chonde naombeni mchaga asipewe madarak makubwa Kia's Cha uwaziri mkuu au uraisi acha kiti kitembee katkat Apo tu Ila pia CYO sukuma

U will thanks me latter
Kwan tuna nn mkuu mbna tunasalitiana tena
 
Nimezaliwa kaskazini Tena Arusha Pale ni nyumbani.... Naishi Dar hapa sio kwetu watu naofanya nao deals ni kutoka kaskazini kwasababu tunashabihana sana. Nawaheshimu sana ninyi wengine lakini hatuna tunachofanana ( Hapa inabidi ukubali tu )
Ok mfano mimi nakunywa mbege na najivunia ni asili yangu.
Nazungumza kiswahili chenye athari za lugha za kule.
Naamini naotoka nao kule .
December tunarudi wote .
Tunashindana kuboresha maisha ya kule.
Mpaka hapo wewe unaingia wapi?
Hata ukikasirika ukatoa maneno makali hatufanani Hii sio kwa ubaya ila ndo uhalisia....
( Tunaipenda Tanzania kwa sababu Kaskazini yetu Ipo ndani ya Tanzania)

Pia watu wa kaskazini wakiandika wanaweka nukta.
 
IMG_1082.jpg

Meru + Kilimanjaro
 
Kinacho wafanya muone watu wa kaskazini tuna ubaguzi ni upendo tulio nao baina yetu katika utafutaji.
Hata wewe unatakiwa uwe hivyo hivyo ukifanikiwa ukawa na biashara zako waajiri ndugu zako kama wana taaluma ya kufanya hiyo kazi na uwalipe stahiki zao ili nao uwainue maana hautafanikiwa ikiwa unanufaisha watu baki na kuwashusha ndugu zako.
Lakin pia hata ufanye hivyo huwezi ukafanikiwa ikiwa hamjalelewa katika misingi ya upendo, mtabaki kusema tu ule msemo wenu wa
"kuliko kumsaidia ndugu Bora umsaidie mtu baki"

sisi huku kwetu kaskazini hamna hyo mzee hata tukikutana mikoa ya kanda zingine tukigundua tu tumekutana watu wa kanda moja palepale tunaanzisha urafiki na kuulizana unafanya mishe gani? ikiwa ni kuosha magari kama na mwenzangu Hana mishe ntamkaribisha aje tuoshe wote magari, ikiwa Mimi naosha magari yeye anamiliki gari ataniletea kila likichafuka nilioshe ili tugawane rizki huo ni upendo na haifai tupigwe vita.
 
Hataaa, nimetaka kujua kwa nini umeweka picha wakati haina uhusiano na matakwa ya thread! Nikisema its a wrong position nitakuwa nakosea?
No si mm niliyeweka Ila nmekusoma toka juu unaonekana una chuki zako binafsi mbona tupo poa tu hasa sisi wachaga
 
Mleta mada wewe ndio mbaguzi na unajihisi kubaguliwa kumbe sivyo just boost ur self esteem.
Mbona kwa miaka mingi umeonekana ni member mwenye akili timamu, kwanini unataka kupoteza heshima yako ghafla?
 
Mnalalamikia wasanii utasema hizo show wanapanga wao, bro Kama unataka watu kushare stage moja andaa show weka kibunda kama alivyofanya huyo bilionea wa Nigeria alafu uone kama huyo Ali na Diamond hawatoshare stage moja, Alafu kuhusu beef kwenye mziki it's normal kwa kuwa inaleta ushindani ambao unaleta challenge kwa wasanii kufanya kazi nzuri na pia kutengeneza attention kwa mashabiki.
 
Back
Top Bottom