sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Mkuu umemsahau na Master JBinafsi naona bora hata msemaji wawe kina Mike tee, Tid, P funk, lady jay dee, n.k. watu ambao walipitia kwenye muziki.
Huyu Steve aliekuwa anajipa vyeo vya kukusabya rami rambi za msiba, hapo hafai kwakweli
Asante kwa kunikumbusha, penye p funk inabidi pawe na master jMkuu umemsahau na Master J
Kujua kusoma na kuandika lugha ya kiswahili na kihehe.Walimtumia kigezo gani yeye kushiriki uchaguzi? Minimum qualifications
Hata kama hawaendi ndo achaguliwe mtu asie msanii kuwasemea wasanii mzebaba.Ni kweli wamekosea
Lakini hao walalamikaji naskia kwenye vikao wakiitwa hawaji sasa wangekuwepo si wangekuwa na nguvu ya kuchagua mtu wanayemtaka?
Mfano ni huyo diamond hajawahi kwenda anajikuta star sasa analalamika nini?
Ni kweli steve hafai huyo MwiziHata kama hawaendi ndo achaguliwe mtu asie msanii kuwasemea wasanii mzebaba.
Ni kama masemaji wa wachezaji mpira ndo awe huyo steve nyerere, inakuja hiyo mzebaba??
Mbona Master J ulimtaja kwenye post yako ya kwanzaAsante kwa kunikumbusha, penye p funk inabidi pawe na master j
Huyo wamemweka kwasababu kazi ya uchawa anaiweza atakuwa anawavutia michongo kutoka serikalini na chama tawala.Binafsi naona msemaji ni bora angekuwa ashawahi kujihusisha na mziki, ingependeza awe Mike tee, Tid, P funk, Master J, lady jay dee, Enika, n.k.
Huyu Steve hapana kwakweli, njaa kali sana hadi ikafika kipindi kila msiba ukitokea anajipa cheo cha kukusanya rambi rambi, pia ni mtu ambae hupenda kutumia watu kama ngazi.
Uwa akiambiwa aeleze mistari yake uwa haeleweki.Fid ni mshamba sana watu wengi wanamheshimu kwa zile flow zake ila ukipata nafasi ya kumsikia akiwa anaongea utagundua hana kitu kichwani zaidi ya kutafsili quotation maarufu duniani na kuziweka kwenye mashairi yake, kitendo cha kumteua steve kuwa msemaji wa wanamuziki kinaakisi mentality yake wala sio cha bahati mbaya au ni mkakati