Wasanii wamjia juu Fid Q kwa kufanikisha Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki wote Tanzania

Wasanii wamjia juu Fid Q kwa kufanikisha Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki wote Tanzania

Wao wameona chama chao hakina ushawishi wakaona Steve atakifanya chama chao kijulikane zaidi
Nahisi Walioamua wamefanya makusudi ili next time ikitokea uchaguzi waende.
Wasanii daily wanalalamika mitandaoni na kwenye interviews ila kwenye mikutano yao hawahudhurii, sasa watahudhuria ingawa kumchagua Steve napo dahhh 😁😁😁
 
Ninavyojua katiba nguvu inakuwa upande wa majority na sio minority.

Sidhani kama majority wangependekeza mtu wao halafu from nowhere shirikisho likamleta tu huyo tivu.. Haiwezekani!

Ninachoona hapa ni mihemko inayofanywa na mashabiki, mfano wakati huyo steve anapendekezwa nani alipinga?
Hakuna hapo ndo utajua wasanii hata vikaoni hawaendi
Raisi wa nchi, au waziri anapoteua bodi fulani ya wakurugenzi ni sisi ndio tumeteua? Mbona teuzi nyingine huwa tunalalamika kwamba hapa hawajatutendea haki kumteua fulani!! Ishu si kupendekeza mtu kutoka majority. Wasanii walishafanya kazi kuchagua viongozi wao. Wajibu wa viongozi ni kuteua. sasa unapoteua mtu labda hawamkubali kutokana na sababu zao haizuii yeye kuendelea na kazi ila likija kubuma huko msala unarudi kwa viongozi.
 
Na raisi anachaguliwa na nani?
Ujue vitu vingine mnakaza fuvu tu bila sababu ya maana,
Mfumo wa hilo shirikisho la kina farid unahusisha zaidi maoni ya wanachama hawachagui hovyo kama raisi anavyochagua akitaka tu.

Sasa kama kwenye vikao vya kushauriana na kupendekeza wanachama wanakuja 15 halafu mtu akichaguliwa unalaumu tena instagram nani amekosea?

Ungeenda na wengine na kusema "jamani sisi stivu hatumtaki tunamtaka fulani"
Uongozi usingekataa kwani nguvu ya wanachama inamtaka mtu fulani wao wanahakikisha mawazo ya wanachama yanatimia..

Huji, hujachagua hujapendekeza na umeitwa mara nyingi huji..!

Why bother to shoot out?
 
Wewe unaona hivyo
Wenzio wamechagua kutokana na wanavyoamini sababu hakukuwa na majority ya kuwa criticize.. Kuwa huyu hatumtaki tunamtaka huyu.. Lakini hawakuwepo wanajifanya bize Sana

Lakini leo huyo stivu amechaguliwa ndio wanaibuka out from nowhere eti hakufaa..! Milipendekeza mtu mnayeona anafaa na viongozi wakakataa?

Kwa hili tuache unafiki kina fid q wapo sawa kiutendaji ya huyo stivu ndo tutajua.
Katiba ya shirikisho haisemi majority ndio wamchague. Bali inasema ni uongozi ndio unateua. Tofautisha kati ya kuchagua na kuteua. Steve ajachaguliwa bali ameteuliwa kuwa msemaji. Kwa hiyo usiwalaumu wasani kuhudhuria kwa sababu hawakuhitajika kwenye tukio hilo kikatiba. Mbona wakati wanampigia kura fid q kuwa katibu walihudhuria? Kikubwa tuelewe majukumu ya viongozi na kila teuzi si kwamba wote watakubaliana nao, wataopinga wapo na watakaosupport wapo.
 
Fid ni mshamba sana watu wengi wanamheshimu kwa zile flow zake ila ukipata nafasi ya kumsikia akiwa anaongea utagundua hana kitu kichwani zaidi ya kutafsili quotation maarufu duniani na kuziweka kwenye mashairi yake, kitendo cha kumteua steve kuwa msemaji wa wanamuziki kinaakisi mentality yake wala sio cha bahati mbaya au ni mkakati
Nitakupinga mpaka kufa kwa hii kauli.
 
Kwa mujibu wa maelezo Yao Jana ,walisema kwamba Shirikisho Lina wanachama mbalimbali humo ndani,kama mziki WA taarabu,dance,Ngoma za asili,za dini....Kwa kifupi Aina zote za music ni wanachama ndani ya Shirikisho...hao TUMA ni Aina mojawapo ya music kirefu chake kama sijakosea walisema ni TANZANIA URBAN MUSIC ASSOCIATION
Duh, wanajimegea vitengo tu[emoji2][emoji2]
 
Fid Q nimemvua vyeo amebakia na nyota 1 tu.
Ameonyesha ukunguru wa hali ya juu.
Alafu eti watu walivyolalamika kuwa Steve hana exposure ya mziki, wanajitetea kwa kupost video za steve nyerere akikata mauno kwenye matamasha ya bolingo.
 
Kwamba yeye atakuwa Aucho,aunganishe beki na washambuliaji?
Yani Fid Q amekua desperate mpaka anaamini kuwa hawezi kupata shows za maana isipokuwa tu kwenye jukwaa la kampeni za CCM ndiyomaana ameona amkumbatie Steve nyerere.
 
Kwanza kajamaa Ni kanasiasa ka mlengo wa chama Fulani,hlf kamejaa longolongo,pia sio kanamuziki hivyo hakawezi kujua changamoto za wanamuziki. . Fid umechemka mwanzanian mwenzangu!
 
Wewe unaona hivyo
Wenzio wamechagua kutokana na wanavyoamini sababu hakukuwa na majority ya kuwa criticize.. Kuwa huyu hatumtaki tunamtaka huyu.. Lakini hawakuwepo wanajifanya bize Sana

Lakini leo huyo stivu amechaguliwa ndio wanaibuka out from nowhere eti hakufaa..! Milipendekeza mtu mnayeona anafaa na viongozi wakakataa?

Kwa hili tuache unafiki kina fid q wapo sawa kiutendaji ya huyo stivu ndo tutajua.
Kwenye kuchagua walikua wanachagua wasanii au cabinet ya viongoI akiwemo fid q??

Ingekua ni wao basi huyo fid q angejitetea kua hawaji kwenye vikao lakini hayo maneno ya kutoenda kikaoni mmeyatoa kwa mwijaku yule lopolopo.
Nna uhakika huna ushahidi wa hilo, ni umemskia tu mwijaku kasema na ww umelichukua kama lilivyo.
 
Na amesema ukweli au sababu ni lopolopo basi asisikilizwe?

Licha hayo tunajua kwenye vikao huwa hawaji niliwahi kusikia yule jamaa Baghdad analalamika kuhusu hili.

Usipokuja na lako halipo, Hata kama kina fid wanachagua wao lakini sidhani kama mchakato unfanyika private.

This time wamewapatia Sana
 
Mkuu madai yao yamesikilizwa na washatoa ufafanuzi kua steve sio msemaji bali ni mhamasishaji tu.

Maoni ya wengi walikua hawamtka so wametwist.

Hawajaenda na wamesikilizwa coz wao ndo wasanii, lao lisiwepo liwepo la nani mkuu.
 
Fid ni mshamba sana watu wengi wanamheshimu kwa zile flow zake ila ukipata nafasi ya kumsikia akiwa anaongea utagundua hana kitu kichwani zaidi ya kutafsili quotation maarufu duniani na kuziweka kwenye mashairi yake, kitendo cha kumteua steve kuwa msemaji wa wanamuziki kinaakisi mentality yake wala sio cha bahati mbaya au ni mkakati
Kabisa
 
Tena ukiskiza show ya xxl ya jana avokua anahojiwa ndo utaona anavoongea utumbo
 
Back
Top Bottom