Sas babu hicho kidogo Cha kutafsiri quotation za watu na kuimba ndio kipaji na wew fanya hvyo pia ujazuiwaFid ni mshamba sana watu wengi wanamheshimu kwa zile flow zake ila ukipata nafasi ya kumsikia akiwa anaongea utagundua hana kitu kichwani zaidi ya kutafsili quotation maarufu duniani na kuziweka kwenye mashairi yake, kitendo cha kumteua steve kuwa msemaji wa wanamuziki kinaakisi mentality yake wala sio cha bahati mbaya au ni mkakati
Acha chukiFid ni mshamba sana watu wengi wanamheshimu kwa zile flow zake ila ukipata nafasi ya kumsikia akiwa anaongea utagundua hana kitu kichwani zaidi ya kutafsili quotation maarufu duniani na kuziweka kwenye mashairi yake, kitendo cha kumteua steve kuwa msemaji wa wanamuziki kinaakisi mentality yake wala sio cha bahati mbaya au ni mkakati
Point yako naipata, Andunje kazi ya uchawa anaiweza sanaHuyo wamemweka kwasababu kazi ya uchawa anaiweza atakuwa anawavutia michongo kutoka serikalini na chama tawala.
Kama sikosei Baghdad nae ana chama chake.Mimi sielewi, kwani hawa wana vyama/mashirikisho mangapi. Na ile TUMA ya kina MIKE TEE inatofauti gani na hii?[emoji56]
Kutohudhuria kwao sio sababy ya kumchagua msemaji asie sahihi.Ni kweli steve hafai huyo Mwizi
Lakini siku zote wengi huwa rahisi kusikika,wangekuwa wanahudhuria Ingekuwa rahisi kumchagua mtu wanayemtaka mkuu
Umemuelezea Steve kama mtu mwenye hela nyingi sana ilhali ni mtu wa kawaida sana anayeishi nyumba ya kupanga Kinondoni Moscow mitaa ya Scud.Ila Steve jamaa anajua kujipenyeza kutoka kwenye udalali wa wanawake, uuigizaji, uchawa kwa wanasiasa na baadhi ya matajiri mpaka uongozi.
Hako kajamaa kaoneni hivyo ila kana hela kwa sababu ya uchawa.
Nakumbuka 2017 nipo zangu Kawe, nikamuona anapita Prado kali.
Sasa nina mwanangu ni mbongo movie nika mwambia nimemuona Steve na Prado, jamaa akanipa Mkanda mzima.
Akanambia sio Prado ana gorofa analijenga lipo mwisho mwisho kuisha.
Zile chaguzi mbili zilizo mweka madarakani Kikwete, yeye ndiye alikuwa coordinator wa waigizaji wote, mzigo anapewa yy, then yy ndiye anaugawa.
Uchaguzi 2015 alipiga ila sio kivile kwani awamu ile Magu alikuwa hataki shobo, 2020 hajalamba kabisa.
Ila ndio mama kaingia mwamba anarudi tena na uchawa wake.
Steve alikuwa anauwezo wa kummiliki Welu Sengo, demu ana bonge la shepu hapo Steve alimpangishia, akamnunulia usafiri na bado mtoto wake akampeleka shule.
Kajamaa mademu anaotembea nao ni wale walio fungasha hatembei na vimodel.
Kajamaa kaoneni hivyo kanapiga hela kwa issues za uchawa kwawanasiasa na baadhi ya matajiri wanamuamini.
Kwa kifupi Fid Q kazingua jamaa hana quality za uongozi bali kujipendekeza.
KWELI hawaendi kwenye vikao lakini hao wanaoenda ndo wamchague steve jamani khaaaaaaNimebahatika kuwasikiliza wengi kuhusu huu mjadala,hao wasanii wenyewe miyeyusho,vikao vyao hawaattendi......wenzao wamefanya yao Makelele kibao.....wao wenyewe Kwa wao mizinguzi tu.......acha waongozwe na Steve tu
Wao wameona chama chao hakina ushawishi wakaona Steve atakifanya chama chao kijulikane zaidiKWELI hawaendi kwenye vikao lakini hao wanaoenda ndo wamchague steve jamani khaaaaaa
Mimi niliyo ongea nae ni mbongo movies na nilikubali zaidi alivyokuwa akimdate Welu Sengo. Yule demu alimpangia, kamnunulia gari na mtoto wale aliye mkuta anawa anamsomeshea,still bado gharama nyingine alikuwa anamuhudumia.Umemuelezea Steve kama mtu mwenye hela nyingi sana ilhali ni mtu wa kawaida sana anayeishi nyumba ya kupanga Kinondoni Moscow mitaa ya Scud.
Simchukii Steve ila mzee umempamba sana yani.
Hapo kwa Fid Q tutakesha tuya ache tuFid ni mshamba sana watu wengi wanamheshimu kwa zile flow zake ila ukipata nafasi ya kumsikia akiwa anaongea utagundua hana kitu kichwani zaidi ya kutafsili quotation maarufu duniani na kuziweka kwenye mashairi yake, kitendo cha kumteua steve kuwa msemaji wa wanamuziki kinaakisi mentality yake wala sio cha bahati mbaya au ni mkakati
Ishu siyo kwenda, hiyo ni cabinet iliyopewa nguvu na baraka za wasanii kuteua mtu anayefaa. Cabinet hiyo inaundwa na wakina Asha Baraka, Mzee yusufu, Fid Q, na ..... Hao ndio wenye nguvu ya kupendekeza na kuteua na siyo wasanii wote kwenda kuchagua. Tuelewe kwanaza maana ya shirikisho na viongozi wake pia katiba yao. Ndio unaweza kuchambua huu mgogoro.Ni kweli wamekosea
Lakini hao walalamikaji naskia kwenye vikao wakiitwa hawaji sasa wangekuwepo si wangekuwa na nguvu ya kuchagua mtu wanayemtaka?
Mfano ni huyo diamond hajawahi kwenda anajikuta star sasa analalamika nini?
Kwa mujibu wa maelezo Yao Jana ,walisema kwamba Shirikisho Lina wanachama mbalimbali humo ndani,kama mziki WA taarabu,dance,Ngoma za asili,za dini....Kwa kifupi Aina zote za music ni wanachama ndani ya Shirikisho...hao TUMA ni Aina mojawapo ya music kirefu chake kama sijakosea walisema ni TANZANIA URBAN MUSIC ASSOCIATIONMimi sielewi, kwani hawa wana vyama/mashirikisho mangapi. Na ile TUMA ya kina MIKE TEE inatofauti gani na hii?[emoji56]
Ninavyojua katiba nguvu inakuwa upande wa majority na sio minority.Ishu siyo kwenda, hiyo ni cabinet iliyopewa nguvu na baraka za wasanii kuteua mtu anayefaa. Cabinet hiyo inaundwa na wakina Asha Baraka, Mzee yusufu, Fid Q, na ..... Hao ndio wenye nguvu ya kupendekeza na kuteua na siyo wasanii wote kwenda kuchagua. Tuelewe kwanaza maana ya shirikisho na viongozi wake pia katiba yao. Ndio unaweza kuchambua huu mgogoro.
Wewe unaona hivyoKutohudhuria kwao sio sababy ya kumchagua msemaji asie sahihi.
Kwahiyo wanawakomoa wasiohudhuria ama!!