Washauri wa Rais Samia ni akina nani?

Nyani Ngabu kwani umeshasahau pia ile narrative ya kuwa JPM alikua anashauriwa vibaya?

Hiyo ni kasumba ya kawaida kwa waongozwa wengi wenye IQ ndogo ku-opt kuhisi kuwa kiongozi wao anashariwa vibaya kuliko kusema kwamba kiongozi mwenyewe tu anachemka yeye kama yeye.

Na pia ni muendelezo wa ule unafiki uliotujaa. Ndugai pia alisema Hayati JPM alishauriwa vibaya kwenye issue ya bandari ya Bagamoyo...
 
Hapa sasa ndio unamaanisha huyu mama hafai kuwa raisi
 
Kwa mfumo wa nchi nyingi za kiafrika washauri wa viongozi mara nyingi humsoma kwanza kiongozi kwamba anataka kusikia nini ndipo nao hutembelea humohumo.
 
Ni wahuni tu sifa yao kubwa ni makada wa maccm zaidi ya hapo ni wapuuzi tu ambao hawaitakii mema Tanzania.
 
Mkwere and company
 
Mkuu hawa machadema wanajaribu kumfanya Samia ni mtu safi sana!

Ila watu wa Magufuli ndio wanamharibia.

Halafu sasa Samia alisafisha watu wote wa Magufuli wa ikulu na team inayomsaidia ni ile mpya kabisa aliyoiunda yeye mwenyewe!

Yaani machadema hata baada ya Magufuli kufariki chochote kinachotokea wanamtupia lawama.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe si ndio ulisema wanawake wa CHADEMA wanaolalamika kunyimwa ped mahabusu watumie makaratasi?

Kama unafurahia matendo haya, hapa unahoji nini?

Acheni kuwa wanafiki! Hujui unachosimamia.

Endeleeni kumpa kichwa huyo Mama ataona matokeo yake.
Mkuu yaelekea abiria waliokuwa kwenye gari la SASHA wameshaingiwa na hofu kubwa. Wakati wowote gari litazimika Huku Pori bado ni Nene.
 
Nyani Ngabu mshauri mmoja huyu hapa, msome mshauri wa mama huyu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…