Washauri wa Rais Samia ni akina nani?

Baraza alilolirithi kutoka kwa Jiwe mpendwa wako
 
Sidhani kama unajua kinachojadiliwa humu
 
Wakuu wa taasisi mbalimbali Gavana wa BOT-uchumi, CDF/IGP/DGTIS-ulinzi
 
Watu kama kina mwigulu eti ndo washauri mtu ajui hata kanuni za kodi, ajui chochote kuhusu madhara ya kodi kubwa kwenye uchumi.
 
13 August 2021
Tarime, Mara
Tanzania

WATANZANIA HAWAJAKUBALI MAKATO KAMA RAIS ANAVYOSEMA TAFITI ZIFANYIKE

 
13 August 2021

Kamanda wa CHADEMA - Magufuli hakufikia hatua hii, Mh. Rais Samia Suluhu na awamu yake yakumbushwa kitabu cha Nyerere "tujisahihishe"

 
Wewe rais kakosea ni kwa mtazamo wa nani?, wengi wabahukumu watakavyo lakini kwa ushahidi, rais hakuna alipokosea

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Dogo huwa unachemka sana
Wewe si ndio ulisema wanawake wa CHADEMA wanaolalamika kunyimwa ped mahabusu watumie makaratasi?

Kama unafurahia matendo haya, hapa unahoji nini?

Acheni kuwa wanafiki! Hujui unachosimamia.

Endeleeni kumpa kichwa huyo Mama ataona matokeo yake.
 
Ushauri mbaya kwako ni upi?

Ukiwajua washauri wake itakusaidia nini wewe? Tutajie washauri japo 3 wa Marais waliopita unaowafahamu na ushauri mzuri walioupata.

Mataga na kikundi cha Mbowe mnahangaika sana yaani ingekuwa usalama umezorota, uchumi unashuka na miradi haiendi ungekuwa na point lakini upuuzi wako wa kutetea magaidi ni nonsense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…