Washauri wa Rais Samia ni akina nani?

Ongezea, RAS shinyanga, waziri wa utawala Bora ( mkwe wake), JK, kuna MR wake ambaye ni afisa kilimo( huwa always anajificha), KMK ambaye naye anajificha chamwino, RC Tabora na Ndugai
Ulitaka uwe wewe? Ukiwa mshauri wa mke wako itafaa huku kwingine utaishia kujifariji humu mitandaoni
 
Acha kumfananisha mama na mwendazake kila mtu na wakati wake mwacheni afanye kazi
 
Wewe ni mpumbavu kumbe unataka tozo zitoke ndio ujue ushauri mzuri 😁😁😁 utasubiria Sana lazima ulipe kodi na Serikali ifanye miradi yake.

Huo ushauri mzuri kampe mkweo
 
Raisi na Amiri jeshi mkuu sio MUNGU, atatukanwa atabezwa na atadhihakiwa tu iwe hadharani au sirini.
Kama hutaki raisi atukanwe basi aachie uraisi. Ukiwa kiongozi basi jua matusi yote utatukanwa
Baada ya kutukana umepata ugali mezani?
 
Bibi-maushungi ni legevu mno. Hata washauri wake wanamjua jinsi alivyo goigoi.

Akiletewa ushauri mezani anawaambia "Haya nendeni mtekeleze hayo mlosema".

Yeye binafsi hawezi kuchakata taarifa na kuzidadavua.

Hahaha, alikuwepo mwendazake watu wakasema hashautiki, ni mkali sana, ni katili.
Huyu sasa ni legevu anasikiliza sana ushauri..
 
Toa ushauri nini kifanyike. Mimi nadai Katiba Mpyaaa
Katiba mpya itakuongezea ugali? Kwanza naona mama mpole ,ningewapiga Pini hadi akili zikae sawa.

Kitu alikosea Jiwe ni sera za Uchumi tuu lakini mama hapa yuko poa ila kwenye siasa ni Pini tuu.
 
Nadhani aongeze kuwakazia hadi waelewe Shoo Waite majina yote wademke kwenye mitandao nk lakini bahati nzuri WaTzn wanawapuuza.

Binafsi nilikuwa kinyume na Magu kwenye sera za Uchumi tuu so long as Maza anaendelea vizuri na sera za ubepari sina shida nae ,Africa inahitaji siasa za Egypt,Rwanda nk ndio itasogea hususani kwenye nchi kama Tzn yenye watu wenye mdomo Sana .

Eti Katiba mpya pumbavu yaani Katiba ya kuingiza chadema madarakani ndio Katiba mpya?
 
Hahaha, alikuwepo mwendazake watu wakasema hashautiki, ni mkali sana, ni katili.
Huyu sasa ni legevu anasikiliza sana ushauri..
Waulize ushauri gani? Hata mtoa mada umeona kuna point yoyote ya maana kaandika? Ishu hapa maslahi ya kundi lake yamepigwa Pini kwa hiyo wanatoa povu kujifariji.

Maza juzi BBC alisema waandike tuu watoe ya moyoni yeye kavaa ngozi ngumu akikuta cha maana hata act akikuta uzushi atawaacha waendelee kujifariji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…