Wasifu wa Naibu Waziri wa Ajira Eveline Munisi

Mkuu samaki huoza kuanzia kichwani, elimu ya hapa na pale .
 
Unategemea nini ikiwa mliyempa ofisi kuu tu amesomea degree ya mambo mbalimbali
 
Wasifu wa Elon Musk!!
Dunia ya leo haiangalii una vyeti vipi! Hatukatai vyeti lakini vyeti havipewi uzito kama mnavyofikiri. Kinaxhopewa uzito ni UMEFANYA NINI! UMEANZISHA NINI cha kuifaa jamii. Huu hapa wasifu wa Elon Musk, hahitaji kuonesha vyeti, anahitaji kuonesha amefanya nini!

Last Updated Mar 10, 2026, 1:01am EDT​

  • Elon Musk cofounded seven companies, including electric car maker Tesla, rocket producer SpaceX and artificial intelligence startup xAI.
  • He owns about 12% of Tesla, which he first backed in 2004, and which he's led as CEO since 2008. He also owns options to acquire another 8%.
  • Musk led a group that bought Twitter for $44 billion in 2022. He merged it with xAI in 2025 in deal that valued the combined company at $113 billion (net of debt).
  • SpaceX, founded in 2002, acquired xAI in February 2026 in a deal that valued the combined company at $1.25 trillion. Musk owns a nearly 40% stake.
  • Musk also founded tunneling startup The Boring Company and brain implant outfit Neuralink. The two startups have raised around $2 billion from private investors combined.
 
Kwa ule moto tunaopitishwa na utumishi hakuna kima angepita huo msoto zaidi ya kuforce connection zao basi!
mnawachukulia poa sana politicians wote eeh,

Tunasahau wapo politicians ambao ni wahasibu, wanasheria, mainjinia, madaktari, procurement officers, ustawi wa jamii, n.k.
wamepitia pia michakato ya shule kama mliyoipitia nyie.

Na wapo ambao enzi za shule walikuwa "vipanga".
So, huko utumishi wangetoboa tu kama wengine wanavyotoboa.

Kiuhalisia, ni rahisi mtu kutoboa huko utumishi kuliko kutoboa mchakato wa kuwa a high profile politician.
Jaribu uone.

Kuhusu interview, nao pia wanafanyiwa interview sana tu, especially for a common person who is an aspired politician anayeanza career yake ya siasa na hana connection wala jina.

Mpaka afike juu, mchakato ni mrefu, na wengi wanakata tamaa.
Nafasi ni chache, wanaozitaka ni wengi.
So ni pagumu.

Na ikitokea umepita mchakato kwenye tawi au shina kuanzia kitongoji, kata, wilaya, n.k
Bado utakula kejeli, matusi na kushambuliwa kwenye majukwaa ya kisiasa.

Watashambulia mpaka nduguzo (wazazi, watoto wako, kaka zako, dada zako, n.k).
Wata-dig, wata-excavate kila kitu (sexual history, family history, financial history, shortcomings, academic history, n.k) looking for anything they can use against you.

Na ukiwa wa kike, mrembo, tamaa mbele na hauna connections, unaweza tumika kingono extensively na hata hizo positions unaweza usipate.

Kwa kifupi, popote "panapolipa" hapajawahi kuwa parahisi.

Vinginevyo labda uwe extraordinary person whom no one can ignore, famous, rich au uwe na connections.
Vitu ambavyo ni nadra.
 
Tujikite kwenye mada!
 
Kwani Jenister Mhagama alikuwa na Elimu gani!?
 
Una uhuru wa kuongea utakayo
 
Mama Tanzania ataendelea siku tutakapokuwa serious na SIASA!
bro mimi ni retired man,nimefanya kazi nyingi tu nje ya nchi hii,nimezaliwa na mzazi mmoja mtanzania na wa pili sio mtanzania.Nina makazi nje na ndani ya nchi,nineoa nje ya ya nchi na tanzania pia.Sio mtu wa siasa,sina chama cha siasa na sihitaji mtu wa kunipa kazi.Siandiki kujikomba kwa mtu naandika kutoa mawazo yangu huru kabisa
na sihitaji kazi ya Mwambie bi msumi akuteue sasa ๐Ÿ˜‚
 
Elimu ya makaratasi, isikupe kichwa. What value can you deliver to people not karatasi.
 
Cha muhimu kazi anaiweza? Hao wenye Masters na PHD si tumewaona walivyotutenda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ