Wasifu wa Naibu Waziri wa Ajira Eveline Munisi

Mimi Nina elimu kubwa kuliko ukoo wako wote
Mwalimu ungekua na hiyo elimu kubwa kuliko ukoo wangu wote wewe chawa usingekuwa una ndoto za kumendea teuzi ya kuwa RAS.

Ila kwa sababu umeunga na gundi hiyo elimu kama boss wako huwezi kuishi kwa amani katika taaluma yako sasa unatafuta nafasi ya kupewa kwenye teuzi.
 
Cv za viongozi wa nchi hii zinachekesha sana ila pia zinareflect uhalisia wa kwanini tupo namna tulivyo na hatutakaa twende mbele zaidi
Wakikaa kuweka sheria za ithibati kwa watangazaji unaweza fikiri wako serious
 

Trust me huwezi kua Darasa la saba, ukamudu Level za Naibu waziri/Waziri, Lazima utakua unasema na hili mkalitazame
 

Si kaajiriwa na Bunge huyu Ndugu. Evaline Munisi(Sio Dr. tafadhari)
 

Mkuu Elon Musk Yuko na Masters, Hana elimu ya hapa na pale kama Mbunge wako
 
Sasa ndo aina ya viongozi wanaotuongoza hawa😂😂😂😂😂😂😂

Kuna mwingine keshapewa hela ya pedi bungeni jana anaanza kusema vijana sio wazarendo.

Yeye ni mbunge na mme wake mbunge. Hawa watakuja kupata akili siku moja ngoja kwanza
 
Elon Musk ana digrii ya Physics na digrii ya uchumi basi. Kila mmoja anaweza kusearch profile yake kwa dakika tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…