Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

"Chakula kingi ambacho tunacho"(?)Mmewapa lini wahitaji wa chakula?Acheni kujibaraguza/kujishaua/kujisafisha kipuuzi wakati kuna watu wana uhitaji.Tende na nyama ya kondoo mnakula kwa sababu mnapewa kutoka Uarabuni?Mchele kosa lake ni kuwa na nembo ya USAID?Upuuzi expression!
Nakazia hoja.Anatakiwa alione Tatizo kwa mapana yake na sio kuangalia hapo nyumbani kwake na majirani zake au kijijini kwao. Atoke nje ya box.
 
1. Mbona chanjo na dawa za wazungu unatumia mkuu? Je, wakitaka kukunyoosha kupitia kwenye dawa na chanjo utasalimika?
2. Hicho chakula unachosema kimajaa Tanzania kimefichwa wapi watoto wanashinda njaa shuleni na kuteswa na utapiamlo?
3. Uliwahi kujitolea hata kilo 1 ya mchele ukapeleka shuleni watoto wapikiwe?
Punguza unafiq wako mkuu.
Akijibu hayo maswali kadiri ya ukweli nitatupa mchele wa USAID kwenye geti la ubalozi wa US mara hiyohiyo.
 
1. Mbona chanjo na dawa za wazungu unatumia mkuu? Je, wakitaka kukunyoosha kupitia kwenye dawa na chanjo utasalimika?
2. Hicho chakula unachosema kimajaa Tanzania kimefichwa wapi watoto wanashinda njaa shuleni na kuteswa na utapiamlo?
3. Uliwahi kujitolea hata kilo 1 ya mchele ukapeleka shuleni watoto wapikiwe?
Punguza unafiq wako mkuu.
-Chakula Tanzania kipo kingi.
Kinachokwamisha ni kutokuwajibika kwa serikali juu ya hilo suala.
-Dawa kabla hazijatumika huwa zinahakikiwa na TMDA kama uliwahi fuatilia kuna poda na baadhi ya dawa za watoto TMDA walizikataza kuingia nchini baada ya kuzipima na kuzigundua zina viambata sumu za saratani.Pia Tanzania tuna viwanda vya dawa pia.Case ya dawa usiichukulie kirahisi hivyo na kuifananisha na mchele.Hivi unajua kama Tanzania hutumia sana dawa INDIA NA CHINA KULIKO USA??
Serikali inatakiwa iwajibike chakula kipo ila hawawajibiki kusaidia hao vijana.
 
Hizi ni mbwembwe tu hao watangazaji wakipata chance ndiyo wataiba hadi viroba vya huo mchele waende kula
Matajiri wa Mchele Nchini ndio wanaohaha kutafuta watu wa kueneza huo uongo ili biashara yao isiharibike !!

Na watu wepesi wa kuwapata ni wale wenye kawaida ya kuwa na mihemuko !!
Watu wanaoshikiliwa Akili zao na watu wengine !
Hatar sana. !
 
Sio kweli.Uislamu haujakataza kujitibu,ni dini peke yake duniani,iliyohimiza kujitibu,ukiumwa,ukiwa mwanamke au mwanaume.Na pia ni dini peke yake ya kiislamu,ilihimiza kutafuta elimu kwa mwanamke na mwanamme,bila kubagua.Nq ndio ukaona vifaa vyote vya dunia,vinatumia ugunduzi wa Muislamu,
Mkuu wewe ni mnafiq na ni muongo sana. Nchi za kiislamu kama Iran, Iraq, Saudi Arabia, etc zinawazuia wanawake si tu kwenda shule bali zinawazuia hata kutoka nje kwenda uwanja wa mpira, sokoni au mahali popote. Wanalazimisha wanawake wakae tu ndani wajirembe wakiwasubiri waume zao warudi waje kuwadinya. Hio ndio kazi pekee wanayopangiwa. Unamdanganya nani hapa?
 
-Chakula Tanzania kipo kingi.
Kinachokwamisha ni kutokuwajibika kwa serikali juu ya hilo suala.
-Dawa kabla hazijatumika huwa zinahakikiwa na TMDA kama uliwahi fuatilia kuna poda na baadhi ya dawa za watoto TMDA walizikataza kuingia nchini baada ya kuzipima na kuzigundua zina viambata sumu za saratani.Pia Tanzania tuna viwanda vya dawa pia.Case ya dawa usiichukulie kirahisi hivyo na kuifananisha na mchele.Hivi unajua kama Tanzania hutumia sana dawa INDIA NA CHINA KULIKO USA??
Serikali inatakiwa iwajibike chakula kipo ila hawawajibiki kusaidia hao vijana.
Kumbe bado huu mchele wa Bashe haujapimwa mkuu au umepimwa na kukutwa na sumu na homoni za ushoga?
 
Acha uongo wewe jamaa.
Qatar na Kuwait ndio wanaongoza kuleta misaada Gaza wakifuatiwa na Turkiye.
ACHA UONGO mkuu kama hujui kitu uliza.
Rafah border hupita malori zaidi ya 50 ya misaada toka hayo mataifa tajwa day after day.
Kwa hiyo huo mchele unaotolewa na kuwait(rafiki wa us) na kulimwa unalimwa huko huko?!
 
Kwanini hivyo vyakula havipelekwi mashuleni mnawaacha watoto wanashinda njaa na kudumaa kwa utapiamlo? Acha unafiq mkuu.
Hao wanaoukataa huo mchele ni wale wanaokula na kusaza bila kujali kama majirani zao wanalala na njaa au vipi !
 
Si suport nchi yetu kupokea misaada hasa ya vyakula kutoka nje ila huu mchele usitumike kama ndio kichaka cha kila mtu kujifanya amechukizwa na kumpangia mtu kipi akusaidie kipi asikusaidie. Watu weusi sisi tuna maajabu mengi sana Mbona hao hao wamerekani wanatusaidia madawa tunapokea? Kifupi ni kwamba kama sisi hatutaki huo mchele tukawauzie wafuga kuku kisha tupate cash tukanunue hizo ambulace kwani tatizo lipo wapi?
 
Tofautisha dawa na chakula.
Pia hizo ARV zipo zinazotengenezwa nchi tofauti na aina tofauti za Anti reno virus drugs.
Usifananishe chakula na dawa.
Kwenye dawa hakuwezi kuwekwa virutubisho vya sumu au homoni za kishoga mkuu?
 
Si suport nchi yetu kupokea misaada hasa ya vyakula kutoka nje ila huu mchele usitumike kama ndio kichaka cha kila mtu kujifanya amechukizwa na kumpangia mtu kipi akusaidie kipi asikusaidie. Watu weusi sisi tuna maajabu mengi sana Mbona hao hao wamerekani wanatusaidia madawa tunapokea? Kifupi ni kwamba kama sisi hatutaki huo mchele tukawauzie wafuga kuku kisha tupate cash tukanunue hizo ambulace kwani tatizo lipo wapi?
Wasije wakasema tunaufukia kumbe wajanja waubadilishia mifuko kisha waanze tena kutuuzia hao hao matajiri wa Mchele Nchini .
 
Eti "cha mtume"utadhani walimuona anakula au analima.
Huyo bwana wao wangemuona anatia pozi gani anapokunya nina uhakika wangeliiga na kulitengenezea maelezo vitabuni ili liwe moja ya vigezo vya kuiona pepo.Jamaa wa mchongo sana
 
Mkuu wewe ni mnafiq na ni muongo sana. Nchi za kiislamu kama Iran, Iraq, Saudi Arabia, etc zinawazuia wanawake si tu kwenda shule bali zinawazuia hata kutoka nje kwenda uwanja wa mpira, sokoni au mahali popote. Wanalazimisha wanawake wakae tu ndani wajirembe wakiwasubiri waume zao warudi waje kuwadinya. Hio ndio kazi pekee wanayopangiwa. Unamdanganya nani hapa?
Nani kakudanganya,hizo nchi ndio zina wasomi wanawake kuliko hata nchi xozote duniani.Kama hutembei duniani,hata Google,unashindwa kuingia.Chuo kikuu cha kwanza duniani,kilianzishwa na mwanamke wa kiislamu.Ingia Google uone,na hicho chuo kiko mpaka leo.
 
Back
Top Bottom