PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
So, these are the kinds of contents that fill your mind.Achani wakatae, tena wanakataa kwa hoja. Wakristo kama mliletewa miujiza ya kitapeli na ushoga mnapokea itakuwa mchele?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So, these are the kinds of contents that fill your mind.Achani wakatae, tena wanakataa kwa hoja. Wakristo kama mliletewa miujiza ya kitapeli na ushoga mnapokea itakuwa mchele?
Tofautisha dawa na chakula.Hao waisilamu ARV hawatumii pia?
Nakazia hoja.Anatakiwa alione Tatizo kwa mapana yake na sio kuangalia hapo nyumbani kwake na majirani zake au kijijini kwao. Atoke nje ya box."Chakula kingi ambacho tunacho"(?)Mmewapa lini wahitaji wa chakula?Acheni kujibaraguza/kujishaua/kujisafisha kipuuzi wakati kuna watu wana uhitaji.Tende na nyama ya kondoo mnakula kwa sababu mnapewa kutoka Uarabuni?Mchele kosa lake ni kuwa na nembo ya USAID?Upuuzi expression!
Akijibu hayo maswali kadiri ya ukweli nitatupa mchele wa USAID kwenye geti la ubalozi wa US mara hiyohiyo.1. Mbona chanjo na dawa za wazungu unatumia mkuu? Je, wakitaka kukunyoosha kupitia kwenye dawa na chanjo utasalimika?
2. Hicho chakula unachosema kimajaa Tanzania kimefichwa wapi watoto wanashinda njaa shuleni na kuteswa na utapiamlo?
3. Uliwahi kujitolea hata kilo 1 ya mchele ukapeleka shuleni watoto wapikiwe?
Punguza unafiq wako mkuu.
Usiogope broo kwani hayo majamaa yamesema wataususia - hawachukui.Mkuu mbona tutakuwa wengi sn kugawana si itakuwa kipengele sasa nauli itakuwa kubwa kuliko hata mchele wenyewe?
Bora twende kimya kimyaUsiogope broo kwani hayo majamaa yamesema wataususia - hawachukui.
-Chakula Tanzania kipo kingi.1. Mbona chanjo na dawa za wazungu unatumia mkuu? Je, wakitaka kukunyoosha kupitia kwenye dawa na chanjo utasalimika?
2. Hicho chakula unachosema kimajaa Tanzania kimefichwa wapi watoto wanashinda njaa shuleni na kuteswa na utapiamlo?
3. Uliwahi kujitolea hata kilo 1 ya mchele ukapeleka shuleni watoto wapikiwe?
Punguza unafiq wako mkuu.
Matajiri wa Mchele Nchini ndio wanaohaha kutafuta watu wa kueneza huo uongo ili biashara yao isiharibike !!Hizi ni mbwembwe tu hao watangazaji wakipata chance ndiyo wataiba hadi viroba vya huo mchele waende kula
Mkuu wewe ni mnafiq na ni muongo sana. Nchi za kiislamu kama Iran, Iraq, Saudi Arabia, etc zinawazuia wanawake si tu kwenda shule bali zinawazuia hata kutoka nje kwenda uwanja wa mpira, sokoni au mahali popote. Wanalazimisha wanawake wakae tu ndani wajirembe wakiwasubiri waume zao warudi waje kuwadinya. Hio ndio kazi pekee wanayopangiwa. Unamdanganya nani hapa?Sio kweli.Uislamu haujakataza kujitibu,ni dini peke yake duniani,iliyohimiza kujitibu,ukiumwa,ukiwa mwanamke au mwanaume.Na pia ni dini peke yake ya kiislamu,ilihimiza kutafuta elimu kwa mwanamke na mwanamme,bila kubagua.Nq ndio ukaona vifaa vyote vya dunia,vinatumia ugunduzi wa Muislamu,
Kumbe bado huu mchele wa Bashe haujapimwa mkuu au umepimwa na kukutwa na sumu na homoni za ushoga?-Chakula Tanzania kipo kingi.
Kinachokwamisha ni kutokuwajibika kwa serikali juu ya hilo suala.
-Dawa kabla hazijatumika huwa zinahakikiwa na TMDA kama uliwahi fuatilia kuna poda na baadhi ya dawa za watoto TMDA walizikataza kuingia nchini baada ya kuzipima na kuzigundua zina viambata sumu za saratani.Pia Tanzania tuna viwanda vya dawa pia.Case ya dawa usiichukulie kirahisi hivyo na kuifananisha na mchele.Hivi unajua kama Tanzania hutumia sana dawa INDIA NA CHINA KULIKO USA??
Serikali inatakiwa iwajibike chakula kipo ila hawawajibiki kusaidia hao vijana.
Kwa hiyo huo mchele unaotolewa na kuwait(rafiki wa us) na kulimwa unalimwa huko huko?!Acha uongo wewe jamaa.
Qatar na Kuwait ndio wanaongoza kuleta misaada Gaza wakifuatiwa na Turkiye.
ACHA UONGO mkuu kama hujui kitu uliza.
Rafah border hupita malori zaidi ya 50 ya misaada toka hayo mataifa tajwa day after day.
Hao wanaoukataa huo mchele ni wale wanaokula na kusaza bila kujali kama majirani zao wanalala na njaa au vipi !Kwanini hivyo vyakula havipelekwi mashuleni mnawaacha watoto wanashinda njaa na kudumaa kwa utapiamlo? Acha unafiq mkuu.
Na homoni za Ugumba 😅🙏Kumbe bado huu mchele wa Bashe haujapimwa mkuu au umepimwa na kukutwa na sumu na homoni za ushoga?
Wasije wakasema tunaufukia kumbe wajanja waubadilishia mifuko kisha waanze tena kutuuzia hao hao matajiri wa Mchele Nchini .Si suport nchi yetu kupokea misaada hasa ya vyakula kutoka nje ila huu mchele usitumike kama ndio kichaka cha kila mtu kujifanya amechukizwa na kumpangia mtu kipi akusaidie kipi asikusaidie. Watu weusi sisi tuna maajabu mengi sana Mbona hao hao wamerekani wanatusaidia madawa tunapokea? Kifupi ni kwamba kama sisi hatutaki huo mchele tukawauzie wafuga kuku kisha tupate cash tukanunue hizo ambulace kwani tatizo lipo wapi?
Huyo bwana wao wangemuona anatia pozi gani anapokunya nina uhakika wangeliiga na kulitengenezea maelezo vitabuni ili liwe moja ya vigezo vya kuiona pepo.Jamaa wa mchongo sanaEti "cha mtume"utadhani walimuona anakula au analima.
Nani kakudanganya,hizo nchi ndio zina wasomi wanawake kuliko hata nchi xozote duniani.Kama hutembei duniani,hata Google,unashindwa kuingia.Chuo kikuu cha kwanza duniani,kilianzishwa na mwanamke wa kiislamu.Ingia Google uone,na hicho chuo kiko mpaka leo.Mkuu wewe ni mnafiq na ni muongo sana. Nchi za kiislamu kama Iran, Iraq, Saudi Arabia, etc zinawazuia wanawake si tu kwenda shule bali zinawazuia hata kutoka nje kwenda uwanja wa mpira, sokoni au mahali popote. Wanalazimisha wanawake wakae tu ndani wajirembe wakiwasubiri waume zao warudi waje kuwadinya. Hio ndio kazi pekee wanayopangiwa. Unamdanganya nani hapa?
Kwanini hatuletewi msaada wa ndege za abiria tunaletewa wali tu? Tena uliorutubishwa?Vip na ARV pamoja na vyandarua tuvikatae pia ingependeza tumpige SHETANI bila kujali sio kua na msimamo wa "kitimoto sili ila mchuzi wake nakunywa"
Sisi ni dona katri hatutaki msaada wa ndege magari nk au sio?