Wasomi jifunzeni kwa dada Mwasu, dereva wa bajaji msomi mwenye shahada mbili

The point NI kuwa ana survive
 
Tunasubiri sasa amiliki kiwanda cha bajaji,

Manake kuna motivesheni spika hapa anasema alianza kula yai la kuku moja la kukaanga sasa hivi ana miliki kuku wa mayai 10,000
Huyo cooma mtie kofi kwa heshima yangu 😂🤣🤣
 
Zero IQ AT WORK
 
Mfano wa kuigwa, sio kila siku kulia lia na kulaumu tu, kumbe maisha yako unayo wewe mkononi mwako, yaani wewe ndiyo unatakiwa kuyafanya unavyotaka na si kusubiri hisani kutoka kwa mwingine
Mkuu hapo Ni Maisha yanamfanya yanavyotaka!
 
Kwa watu wanaomjua kuna vitu vingi kaficha na vingine vimepakwa pakwa rangi ili stori ipendeze
 
Shukrani kwa maelezo Doon
 
Wanabodi tuelezane kweli kuhusu ajira kwa wasomi. Ninawafahamu vijana wana masters lakini ni mama lishe na mwingine dereva daladala na wamejisali Recruitment portal ya utumishi ni miaka [ Recruitment Portal ] !
Na wenye degree moja hawana ndoto ya kuajiriwa; bali wanasubiri kudra za Mwenyezi Mungu wakutane nazo katika dunia hii ya taabu.
 
Mkuu unadhani kumiliki biashara au company kubwa unadhani ni kitendo cha kuibuka tu?

Yaani ile siku unamaliza tu chuo week later unamili a huge company.

Umetumia neno "nataka" as something easy.
 
Ukitaka kujua mfumo wetu wa elimu ni mbovu na unazalisha wajinga ni hizi comments za humu.
Siungi mkono kuendesha bajaj ila kwa masikini hata uwe na PhD huwezi kuanzisha au kufanya vitu vikubwa bila pesa ya kutosha.
Hivyo ni lazima uanzie chini no matter what kama una nia ya kufanya vikubwa au nenda kaajiriwe kama mfumo mbovu wa elimu na jamii kama humu zinavyosema.

Mnajua ana plan gani au ana wekeza nini kwenye hicho anachokifanya?

Kama wewe ni masikini au kwenu hamjiwezi na wewe una elimu kubwa pia una ndoto za kumiliki vitu vikubwa na hutaki kuanzia chini.
Basi endelea kubaki hapo kwa wazazi au shemeji na uendelee kuota hizo ndoto au uendelee kusubiri ajira huku unazeeka.

Kama mnayoandika haya mmesoma basi elimu zenu ni useless pia mfumo wa elimu ubadilishwe mara moja sababu unatengeneza watu ambao ni dreamers, delusional and useless sababu hakuna execution katika chochote wanachosema.

If everything is that easy as you think then you shouldn't be where you are right now.
 
Naye msomi mwenye shahada ya utawala inabidi aige kwa watu wengine kuzaa kwa mpango, hao watoto watatu wanaonekana wanatofautiana umri wa chini ya miaka miwili.
 
Mfano wa kuigwa, sio kila siku kulia lia na kulaumu tu, kumbe maisha yako unayo wewe mkononi mwako, yaani wewe ndiyo unatakiwa kuyafanya unavyotaka na si kusubiri hisani kutoka kwa mwingine
Ana utofauti gani na walioishia darasa la 7B?maana hata walioishia darasa la 3B pia wanaendesha bajaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…