Wasukuma mulimhola: Mmetisha kujaza Tanzania kila mahali!

Kweli wasukuma kabila kubwa, kila sehemu ya Tanzania wapo wengi na wanachapa kazi kwelikweli. Nimewakubali sana.
Karibuni kwenye huu uzi tuwapongeze.
Tupo Mkuu kila sehemu tukienda lazima tupige miti watoto wa watu ili tuache mbegu!!
 
Inasikitisha sana,
Haisaidii chochote zaidi ya kuongezeka umaskini tu.
Jamaa nimeish nao miaka 17 NI matajiri sana na wanamifumo tofauti ya kujilimbikizia Mali NI mabepari haswa....nilichopingana au kushangazwa kwao NI kuthaninisha MTU mtoto Kama Mali stock...penzi Kama kazi ya kupata ujirahalali ....washikaji wapo mbali sana....ukizalisha binti bila ya mahari watamchukua na kumtumikisha kilimo na ufugaji wakiume watamuoza mapema azae wachungaji wa mifugo na wakulima wa mashamba ..binti atakuzwa kulipiwa mahari akiwa bado kinda....Hawana Cha mtoto sio damu yangu...
 
Usiseme ushirikina sema njia za asili za kitamaduni.

Usijitoe akili kisa dini za oppressors wako
 
Mara ya mwisho kufika mtwara na lindi lini?na khakikishia kwa sasa ndio safe heavens kwa wasukuma hiyo mikoa wanahamia kwa kasi sana pamoja na mifugo yao.
 
Sasa wewe umejifunga hapo kijiji kwenu tuu, tembea uone hawa ngosha walivyosambaa TZ na wao wanaoñgea kisukuma tuu kwa sauti kubwa kila mahali.

Nu bebe ulu urehaya ukubiza nsukuma. Nzogu wirange kuyomba kisukuma ubine wigushe mbena ya bagalu na bagiiika
 
Wanaongoza kwa kumiliki mifugo mingi nchini, pia ndio wazalishaji namba moja wa mpunga.. asilimia kubwa ya mashine za kukoboa mpunga zinamilikiwa na wao.. ukifika machimboni wao pia ndio mabingwa wa kuzamia mashimo marefu (rongobesi)
Basukuma bate badedu. Bakatumikaka geete nu kulima bakalimaga geeete - terekta nduhu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…