Wasukuma ndivyo mlivyo au huyu ananiigizia

Ramli imeenda Chaka mkuu.. hata nukta sikaribiani nao labda rangi tu ukiniona utadhani wa huko ila sio mkuu
Tatizo unakua na wenge sana, kama unampenda mpende achana na hayo mambo ya ukabila,,, muda sio mrefu huyo msukuma atakuacha au amekuacha tayari.
 
Ndi
Ndivyo alivyo hapo hamna Usukuma ndivyo alivyo,si anakutosheleza mahitaji pia na kwenye 6×6!Hilo ndio la msingi, mengine potezea
 
Kabila lake linahusiana vp na tabia ya mtu binafsi? Watu mnaohusisha kabila la mtu na tabia zao mnahitilafu vichwani.
 
Kabila lake linahusiana vp na tabia ya mtu binafsi? Watu mnaohusisha kabila la mtu na tabia zao mnahitilafu vichwani.
Hivi wamakonde na wasukuma wanafanana kitabia??
Kabila lina mchango mkubwa wa kiathiri tabia ya mtu..
huwezi kuta msukuma anakata kiuno Kama mmakonde bwana we utaweka mifano yako ya Mfanano ili iweze ku link hapo
 
Au mnyakyusa Kupenda kula mlenda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…