Chemically:hawaendaniUsiseme hamna chemistry tu, inaonyesha
Historically ulimtongoza,
Biologically hamna vinasaba vinavyoendana,
Physically mko mbalimbali,
Mathematically mwamba yuko apeche alolo.
Anyway Unahitaji ku-apply NRNE
hawa ndo utawasikia wakiwaambia rafiki zao akina chausiku, "simu ya mpenz wangu haina hamshahamsha"Wewe unaonekana kiherehere mwache huyo ngosha utamtesa bure
Tatizo lake liko hapa. Hutaweza kubadili mambo kubaliana na hicho kipengele.Wasukuma hao labda wa ndani ndani.. mtu ambae amekaa abroad 5 yrs anakutana na kila mwanamke halafu aje bongo apapatikie pisi kali.. kiufupi hata miMi wakati nakutana nae nilifikiri atakuwa ni wale wasukuma wa shinyanga ila huyu anashindaga china mkuu sio hao uwasemao🤣🤣🤣
Kuna kupetipeti na kuspoil. Lipi unataka?😃😃😃 wewe ni wa pili kunambia hivyo
Kuna rafiki yangu nae aliposikia na date na msukuma alishangaa maana anasema walishindwana na mtu wake ana tabia kama hizo sasa ameolewa na mchaga mwenzie
MmhKuna kupetipeti na kuspoil. Lipi unataka?
Hata mimi sipendi calls za mara kwa mara au sms hili sidhani kama ntabadirika labda nianze maigizo. Na jambo hili limemsumbua sana wife ila imebidi akubali tu. Sasa ni miaka 14 ya ndoa.
Sio mafala mkuuWengi wao ni slow leaner, vichwa vizito km uji wa juzi, hawapo romantic, nguvu nyingi akili kisoda, wengi wao wahongaji wazuri, kiufupi ni mafala fala flani hivi
HahahaTatizo lake liko hapa. Hutaweza kubadili mambo kubaliana na hicho kipengele.
KwenuNikwende wapi?
Ila Kuna mahali umeshikwa hujaribu kufanya hivyoNafanya mnachopenda kufanyiwa kosa langu ni lipi?
Njoo nikukuleKwenu
Ndo ilivyoSio mafala mkuu
Chemically:hawaendani
Mkuu umenifanya nimecheka asubuhi asubuhi yote hii.😄Ndo wale wa bebi usisahau kumeza mate😅