Wasukuma ndivyo mlivyo au huyu ananiigizia

Kwani si ndo wewe uliyetolewa mkuku na mchizi ulipomnyima kitobo baada ya kula vyake?
 
KATI YA MSUKUMA NA MSUKULE HIVI NANI NI MSUKUMA
 
huyo atakua ni mtu wa kaskazin😄😄 hao watu hupenda sana mambo ya ukabila
 
How old is your concubine and yourself
 
Wanakuonea gere mayo!
Uko vizuri na msimamo! Endelea na ngosha wako, awe mshamba poa, awe na soksi poa!
Wewe umependa mwanashita!
 
Hajakupenda, itakua wewe ndio ulijochoresha amekupiga mashine amerudi kwenye default settings. Hatipogo hivyo sisi
 
Sema unataka kipi kati ya kupetiwa kwa sms na calls za kila saa au kuwa spoiled kwa material things na kupiga kimya? Maana inaonekana huyo jamaa yako ni wa vitendo zaidi kuliko maneno ya udanganyifu
 
Sema unataka kipi kati ya kupetiwa kwa sms na calls za kila saa au kuwa spoiled kwa material things na kupiga kimya? Maana inaonekana huyo jamaa yako ni wa vitendo zaidi kuliko maneno ya udanganyifu
sizitaki mbichi hizi
 
huyo atakua ni mtu wa kaskazin😄😄 hao watu hupenda sana mambo ya ukabila
Ramli imeenda Chaka mkuu.. hata nukta sikaribiani nao labda rangi tu ukiniona utadhani wa huko ila sio mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…