Ha ha ha..dahWanaona sifa kula chakula kingi, wanasema kwao hakuna njaa wanalima sana. Mtoto mdogo anaanza kulishwa chakula kingi ili tumbo lipanuke awe anapakia chakula kingi hatimaye akiwa mkubwa awe na umbo kubwa. Mshangao ni pale wakienda chooni mtu anashusha kimba la kilo mbili! Kwa ulaji huo choo kitaachaje kujaa haraka?
Chooni huwa unafuatilia.Wanaona sifa kula chakula kingi, wanasema kwao hakuna njaa wanalima sana. Mtoto mdogo anaanza kulishwa chakula kingi ili tumbo lipanuke awe anapakia chakula kingi hatimaye akiwa mkubwa awe na umbo kubwa. Mshangao ni pale wakienda chooni mtu anashusha kimba la kilo mbili! Kwa ulaji huo choo kitaachaje kujaa haraka?
Ukila lazima ufanye kazi za nguvu sio kunywa pombe kama wa chagga lazima upate kitambi, msukuma chakula chake anakifanyia kazi kinasagika haraka.Chooni huwa unafuatilia.
Binafsi mimi ni Msukuma, kwa miaka 15 liyopita nimehamia Uchagani huku. Na niko huku nakula kama niliyokua nakula nyumbani. Tunatwanga ugali maziwa, na mboga za kutosha.
SIna overweight km wanaokula kidogo.Huku wanawache wanavutambi ila usukukumani hakuna mwanamke mwenye kitambi.
Wasukuma twakula chakula Kingi kwasababu twaamini tutaingia tena shambani kupambana, hivyo lazma tukusanye nguvu Kwa wingi.Habari za jumapili wakubwa.
Juzi kati nikamtembelea jamaa yangu flani hivi ni msukuma anaishi nje kidogo ya mji.
Ebana sijawahi kuona watu wanakula kama hawa watu.
Imeletwa nguna ya watu watatu tu mezani lkn hiyo nguna kwa wanaume wazembe kama wa dar wangeweza kula mwezi mzima.
Tumepiga nguna weeeee me nikasarenda nikawaacha wenyeji wakaisukuma mpaka ikaisha nikabaki mdomo wazi tu.
Ndugu zangu punguzeni huu ulaji wa hovyo namna hii.
Kwamba wali ni starter?Sio Wasukuma pekee ndiyo Walaji wa chakula kingi. Nafikiri ni mikoa yote ya Kanda ya Ziwa ni Walaji wazuri wa chakula kingi.
Ulaji wa chakula kingi unategemea na shughuli mtu azifanyazo, kama utakuwa unafanya kazi nyingi za nguvu huna budi kula chakula kingi ili kupata energy ya kutosha kwenye shughuli zako.
Mimi pia nilikuwa Mlaji sana wa chakula nikiwa kule, baada ya kuja DSM nikapunguza kabisa.
Juzi nilipoenda Musoma kusalimia, nikakutana na msosi wa kula watu sita wa DSM lakini tukatakiwa kula watu watatu.
Kwanza walipakua wali Samaki tukala.
Baada ya dakika 15 wakaleta mezani ugali Samaki, eti walisema ule wali ilikuwa ni wa kuonja tu 🙌
Kwa kweli tunaoishi mijini ni kama hatuli kabisa, haiwezekani ule Chipsi sahani Moja eti ushibe, hizo nguvu za kuzalisha watoto 12 kama Wazee wetu zinatoka wapi 🙌