Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kuna kama nyingi zenye njaa katika jamii za wafugaji hadi wanepewa fedha za TASAFJamii za wafugaji wengi ndivyo hufanya, ndiyo maana ukienda kwao huwezi kukuta tatizo la njaa hata Siku moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kama nyingi zenye njaa katika jamii za wafugaji hadi wanepewa fedha za TASAFJamii za wafugaji wengi ndivyo hufanya, ndiyo maana ukienda kwao huwezi kukuta tatizo la njaa hata Siku moja
Nakubaliana na wewe ila sio Wasukuma, wao mara nyingi nawaona wapo serious na chakula.Kuna kama nyingi zenye njaa katika jamii za wafugaji hadi wanepewa fedha za TASAF
Mtu anashinda mashambani huko sa unategemea aje ale kama wewe uliyeshinda kutwa mzima unasuta jirani yako?Habari za Jumapili wakubwa.
Juzi kati nikamtembelea jamaa yangu fulani hivi ni msukuma anaishi nje kidogo ya mji.
Ebana sijawahi kuona watu wanakula kama hawa watu.
Imeletwa nguna ya watu watatu tu mezani lkn hiyo nguna kwa wanaume wazembe kama wa Dar wangeweza kula mwezi mzima.
Tumepiga nguna weeeee me nikasarenda nikawaacha wenyeji wakaisukuma mpaka ikaisha nikabaki mdomo wazi tu.
Ndugu zangu punguzeni huu ulaji wa ovyo namna hii.
Jamii za pwani huwa tunawanyima vyakula watoto kwa kuwapa chakula kidogo ety ni ukisasa matokeo yake wanakuwa na vi miili vidogo na vichwa vikubwa kitu ambacho si sawa kabisa. Kwa wasukuma watoto muda wote wakiitaji kula chakula mtoto anapewa. Maana asubuhi TU mama lazima apike uji kwenye sufulia KUBWA, au boko hara michembe. Kwa hiyo mtoto au mtu yeyote akihisi njaa anakula chakula sasa ni tofauti na kwetu huku pwani Kila tunabajet Hadi chakula ila wasukuma kula kushiba ni lazima na Hana bajeti maana Kila kitu analima yeyeMtu anashinda mashambani huko sa unategemea aje ale kama wewe uliyeshinda kutwa mzima unasuta jirani yako?
Issues za ulaji hutegemeana na kazi unayofanya bro
Hakuna mwenye kitambi ana akili...HAKUNA nioneshe ni nani? Wenye vitambi wote wana udumavu wa akiliBora kipi uwe na kitambi alafu uwe na akili au uwe una kula sana alafu mjinga?
Mwamba utakuwa mpumbavu wewe! Yaani unataka Msukuma ale chakula kidogo kama Mzaramo? Unafahamu kazi za hawa miamba? Wacha wale bwana maana haijawahi kutokea ukawapelekea hata debe la mahindi!Habari za Jumapili wakubwa.
Juzi kati nikamtembelea jamaa yangu fulani hivi ni msukuma anaishi nje kidogo ya mji.
Ebana sijawahi kuona watu wanakula kama hawa watu.
Imeletwa nguna ya watu watatu tu mezani lkn hiyo nguna kwa wanaume wazembe kama wa Dar wangeweza kula mwezi mzima.
Tumepiga nguna weeeee me nikasarenda nikawaacha wenyeji wakaisukuma mpaka ikaisha nikabaki mdomo wazi tu.
Ndugu zangu punguzeni huu ulaji wa ovyo namna hii.
Ugali ukiwa na Mboga nzuri siyo mbaya ila usile kupita kiasi.
Wala sio kula ovyo ni kujua kutafuta na kujua kutumia, msukuma huwezi kuta anapima unga dukani ndio maana likitolewa dongo mbwa haruki, ila Dar unga unapima nusu na robo alafu mnakula watu 4Habari za Jumapili wakubwa.
Juzi kati nikamtembelea jamaa yangu fulani hivi ni msukuma anaishi nje kidogo ya mji.
Ebana sijawahi kuona watu wanakula kama hawa watu.
Imeletwa nguna ya watu watatu tu mezani lkn hiyo nguna kwa wanaume wazembe kama wa Dar wangeweza kula mwezi mzima.
Tumepiga nguna weeeee me nikasarenda nikawaacha wenyeji wakaisukuma mpaka ikaisha nikabaki mdomo wazi tu.
Ndugu zangu punguzeni huu ulaji wa ovyo namna hii.
Juzi nimeshuhudia ndoo ndogo ya lita 10 iliyojaa ugali ikiliwa na watu 3, tena ni huku uchaganiHabari za Jumapili wakubwa.
Juzi kati nikamtembelea jamaa yangu fulani hivi ni msukuma anaishi nje kidogo ya mji.
Ebana sijawahi kuona watu wanakula kama hawa watu.
Imeletwa nguna ya watu watatu tu mezani lkn hiyo nguna kwa wanaume wazembe kama wa Dar wangeweza kula mwezi mzima.
Tumepiga nguna weeeee me nikasarenda nikawaacha wenyeji wakaisukuma mpaka ikaisha nikabaki mdomo wazi tu.
Ndugu zangu punguzeni huu ulaji wa ovyo namna hii.
Ni kweli unajua..july tuu hapo nilikuwa mwaduiHahaha....watu mna vituko.
Duh. Sio poaJuzi nimeshuhudia ndoo ndogo ya lita 10 iliyojaa ugali ikiliwa na watu 3, tena ni huku uchagani
Kwa kazi wanayofanya ni haki kula hivyo, Unajua kupasua mti mkubwa mbao kwa kutumia msumeno ule mrefu sio mchezo hata kidogo. Wenye experience watakuja kuungaman na mimi katika hili
Hatari sanaUnakuta wanaume vijana miaka 45 hana nguvu za kiume 🤔🤔
Anahangaika na miti shamba weee hakuna kitu , hakuna ufumbuzi.
Anajiuliza au kuna tego aliwekewa mahala labda kuna mwanamke wa mtu alipita nae ?!
Kumbe wala ni life style tu.
Ukimuona kwa nje utasema bonge la bwana kumbe ni mtihani .
Sababu ni nini utakuja kukuta ni Insulin resistance imekuwa dhaifu .
Kisukari.
Sababu ya kula wanga mwingi ugali mgumu kama jiwe Halafu mwingiii kama wa mbeba zege au kuli wa bandarini.
Halafu watu wakitoa ushauri wa bure kama sehemu ya jamii watu wanafanya resistance.
Mwenyezi Mungu azidi kutuepushia mbali.