Wasukuma punguzeni huu ulaji wa chakula kingi namna hii

Habari za Jumapili wakubwa.

Juzi kati nikamtembelea jamaa yangu fulani hivi ni msukuma anaishi nje kidogo ya mji.

Ebana sijawahi kuona watu wanakula kama hawa watu.

Imeletwa nguna ya watu watatu tu mezani lkn hiyo nguna kwa wanaume wazembe kama wa Dar wangeweza kula mwezi mzima.

Tumepiga nguna weeeee me nikasarenda nikawaacha wenyeji wakaisukuma mpaka ikaisha nikabaki mdomo wazi tu.

Ndugu zangu punguzeni huu ulaji wa ovyo namna hii.
TUACHE na appetite zetu! 👺😠😡😤
 
Usiwashangae kula, sema Ma shaa Allah.

Sasa ngoja ukutane na kunya yao, hapo kama hukushangaa tutakushangaa wewe.
 
Kwani kula sana kumewasababishia tatizo gani watu wa kanda ya ziwa kama ni hela wanatafta,sio wavivu,kitabu wanapga,serikalin wapo,wana jichanganya wanao uwezo wa kuishi popote mjini na vijijin sio kama wahadzabe.Na je wanao kula kiduchu wana status ipi kutokana na kula kwao kidogo!?
Sawa
 
We umesema ilikuwa nguna ya watu wa watatu ukashiba ukawaacha wenzako.

Sasa hapo shida iko wapi. Nilkdhani nguna ya watu kumi ililiwa na watu watatu.
Hujanielewa,ile nguna ilitakiwa iliwe na watu zaidi ya watatu maana ilikua kubwa kwenye sufuria.
 
kwamba tuameanza juzi kula chakula kingi?

Hapana.
Endeleeni kutifua .
Endeleeni kula chakula Kingi na ugali mgumu kama jiwe kana kwamba life style ile ya zamani bado iko vile vile.
Kana kwamba bado mnaenda kuchota maji visimani kilomita nyingi wakati wa kwenda na kurejea nyimbani /mtoni mbali kilomita nyingi kwa mwendo wa miguu,
Kana kwamba mnaenda kuokota kuni mbali porini kwa mwendo wa miguu ,
Kana kwamba mnaenda kuchunga mifugo mbali kwa miguu,
Kana kwamba mkienda kusalimia ndugu mna tembea kwa miguu mwendo wa mbali.
N.k

Mnakula jasho lenu wenyewe hakuna wa kuwagomba.
Kuleni tani zenu.

Ushauri unahiyari ya kuupokea au kuupuzia.

Isipokuwa hakuna anaeweza kuepuka consequences ya maamuzi anayofanya.
Nature is ordered always.

Alamsiki.
 
Ugali utaendelea kupigwa kama kawaida.
 
Habari za Jumapili wakubwa.

Juzi kati nikamtembelea jamaa yangu fulani hivi ni msukuma anaishi nje kidogo ya mji.

Ebana sijawahi kuona watu wanakula kama hawa watu.

Imeletwa nguna ya watu watatu tu mezani lkn hiyo nguna kwa wanaume wazembe kama wa Dar wangeweza kula mwezi mzima.

Tumepiga nguna weeeee me nikasarenda nikawaacha wenyeji wakaisukuma mpaka ikaisha nikabaki mdomo wazi tu.

Ndugu zangu punguzeni huu ulaji wa ovyo namna hii.
Kwa kula huko tena ugali akili watazisikia kwa watu
 
Back
Top Bottom