Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Nawafahamu..nilikaa kwao kwa mwaka mmoja nilikua,nafanya kazi..wale watu wanakula bana na hawana uchoyo kwny chakula...Wasukuma ni balaa kwny msosi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawafahamu..nilikaa kwao kwa mwaka mmoja nilikua,nafanya kazi..wale watu wanakula bana na hawana uchoyo kwny chakula...Wasukuma ni balaa kwny msosi
Wanakula kama hawatakula tena, sasa ukute mama wa kisukuma ametoka kwenye majaruba, akianza kula atatumia masaa matatu kula tu ndio aamke hapo chini Evelyn SaltNawafahamu..nilikaa kwao kwao kwa mwaka mmoja nilikua,nafanya kazi..wale watu wanakula bana na hawana uchoyo kwny chakula...
Kabisaaa aisee 😁Hahaha..............kama umezoea misosi yetu ya town, ukishakula wali hutakuwa na uwezo wa kula tena hiyo nguna 😅🙌
Halafu wenyewe wameshazoea kula hivyoKabisaaa aisee 😁
We umesema ilikuwa nguna ya watu wa watatu ukashiba ukawaacha wenzako.Habari za Jumapili wakubwa.
Juzi kati nikamtembelea jamaa yangu fulani hivi ni msukuma anaishi nje kidogo ya mji.
Ebana sijawahi kuona watu wanakula kama hawa watu.
Imeletwa nguna ya watu watatu tu mezani lkn hiyo nguna kwa wanaume wazembe kama wa Dar wangeweza kula mwezi mzima.
Tumepiga nguna weeeee me nikasarenda nikawaacha wenyeji wakaisukuma mpaka ikaisha nikabaki mdomo wazi tu.
Ndugu zangu punguzeni huu ulaji wa ovyo namna hii.
Bora kipi uwe na kitambi alafu uwe na akili au uwe una kula sana alafu mjinga?Chooni huwa unafuatilia.
Binafsi mimi ni Msukuma, kwa miaka 15 liyopita nimehamia Uchagani huku. Na niko huku nakula kama niliyokua nakula nyumbani. Tunatwanga ugali maziwa, na mboga za kutosha.
SIna overweight km wanaokula kidogo.Huku wanawache wanavutambi ila usukukumani hakuna mwanamke mwenye kitambi.
Gosi ologokaya nkoiKumbe unatokea bariadi Mzee?Mimi meatu
Yaani acha tu.Dah umenikumbusha bhugali bho ndimi, ugali wa moto, nkalango au nyama iliyokaushwa ( ng'homele) na mtindi ( malibhoto).
Tatizo la Nguvu za kiume utalisikia Daslama tu 😂😂😂😂😂
Kabisa.Abhachile badalyaga.Michembe na chai ya maziwa asubuhi yenye Michai chai. Gulya kwa mpanga.Ugali mkubwaaaa, na samaki mbichi mkubwaaa weee hapo hunitoi nakula mpaka mwili mzima unalowa jasho,
Obhise abhasukuma aha malya tutogohaga gete, bhebhe kolya kwa mpanga,
Mh!Nawahurumia wasije pata magonjwa ya sukari na presha za kupanda .
Dar es Salaam wala hakuna tatizo la nguvu za kiume zaidi ya kijijini kwenu, ni wahuni tu wanaotaka kufanya biashara za dawa za kienyeji. Ugali mkubwa kama kichuguu, nyama kavu na maziwa hauwezi kuzuia kupata tatizo la nguvu za kiumeDah umenikumbusha bhugali bho ndimi, ugali wa moto, nkalango au nyama iliyokaushwa ( ng'homele) na mtindi ( malibhoto).
Tatizo la Nguvu za kiume utalisikia Daslama tu 😂😂😂😂😂
HahahaWanaona sifa kula chakula kingi, wanasema kwao hakuna njaa wanalima sana. Mtoto mdogo anaanza kulishwa chakula kingi ili tumbo lipanuke awe anapakia chakula kingi hatimaye akiwa mkubwa awe na umbo kubwa. Mshangao ni pale wakienda chooni mtu anashusha kimba la kilo mbili! Kwa ulaji huo choo kitaachaje kujaa haraka?
Kubabaake mzee wa tamisemiBinafsi isingekuwa haya maisha ya Kisasa na kufata mambo ya Dini ya Mke mmoja, ningeshakuwa na Watoto 20 saivi
Ukienda Vijijini unauziwa ekari 50 Kwa shilingi milioni 2.5 tu, wastani wa ekari Moja shilingi 50,000
Hapo ukijenga yale maboma kila Mke na boma lake, Kila boma umefunga Umeme wa Solar kwaajili ya mwanga
Wakati huo umenunua majembe ya kuvutwa na ng'ombe, ni mwendo wa kulima tu
Chakula hakikauki ndani, magunia na magunia
Siku hizi Elimu ni bure, watasoma kuanzia Shule ya msingi hadi wanafika Chuo Kikuu ambapo wanakutana na boom la Serikali
Wakikusikia watakupiga mana hapa reference byao ya chakula kizur hadi hotelini utasikia ugali ukiwauliza unapata nn hawajibu