Wanaharibu "supply chain" ya chakula kitaifa.Mtu mmoja kula mahindi ya watu kumi ni uharibifu.😀😀Kama hauwachangii kwenye huo msosi huna haki ya kuwasimanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaharibu "supply chain" ya chakula kitaifa.Mtu mmoja kula mahindi ya watu kumi ni uharibifu.😀😀Kama hauwachangii kwenye huo msosi huna haki ya kuwasimanga
Ukila sana kupitiliza akili haifanyi kazi vizuri muda mwingi.Kwani kula sana kumewasababishia tatizo gani watu wa kanda ya ziwa kama ni hela wanatafta,sio wavivu,kitabu wanapga,serikalin wapo,wana jichanganya wanao uwezo wa kuishi popote mjini na vijijin sio kama wahadzabe.Na je wanao kula kiduchu wana status ipi kutokana na kula kwao kidogo!?
Oyaaa...kwamba hiyo 25 kg kwa watu 5 ni kingi saana!?kwamba wapige 30 days +!?? mkuu utakuwa hauko seriouzKuna jirani yangu kila mwezi anaingiza kiroba cha unga cha kg 25 ndani na kinaisha, na wapo yeye na mkewe na watoto 3 tu.
Mtu mmoja anakula Sato, Nyama choma na maziwa katika mlo mmoja?!Siku moja nili enda nyumbani kwa mwanasiasa kijana machachari hapo lake zone.
Ni rafiki yangu wa A_level tumekaa ghetto na tume share leisure time na experience mbali mbali
Mimi na rafiki yangu E tulikua wageni kwao na huyo mwana siasa uliletwa UGALI MKUBWA na SATO MKUBWA na m MAZIWA na mboga za majani kachumbari na NYAMA choma MIMI na E tuliangaliana. Tukashangaa
Tulikua watu wa 5 jumla Ila uliletwa ugali mkubwa sana na unwounderful enough ugali wote na mboga zotee ziliisha wasukuma.
Wasukuma Bagosha yaan I salute you.
aw bhana tukubali japo kishngo upande ila mpunguze kutusema jaman tunakula na kutafta pia.Ukila sana kupitiliza akili haifanyi kazi vizuri muda mwingi.
Utashangaa? Wanakula balaa Mimi na E tulishangaa ule ugali Uli Isha vp?Mtu mmoja anakula Sato, Nyama choma na maziwa katika mlo mmoja?!
Ndio maana usukumani hakuna vyoo, ni hasara.Wanaona sifa kula chakula kingi, wanasema kwao hakuna njaa wanalima sana. Mtoto mdogo anaanza kulishwa chakula kingi ili tumbo lipanuke awe anapakia chakula kingi hatimaye akiwa mkubwa awe na umbo kubwa. Mshangao ni pale wakienda chooni mtu anashusha kimba la kilo mbili! Kwa ulaji huo choo kitaachaje kujaa haraka?
Hii nchi nyie ndo mnategemewa kama vijana afu mtu anakuja anapost huu upuuzi for realHabari za Jumapili wakubwa.
Juzi kati nikamtembelea jamaa yangu fulani hivi ni msukuma anaishi nje kidogo ya mji.
Ebana sijawahi kuona watu wanakula kama hawa watu.
Imeletwa nguna ya watu watatu tu mezani lkn hiyo nguna kwa wanaume wazembe kama wa Dar wangeweza kula mwezi mzima.
Tumepiga nguna weeeee me nikasarenda nikawaacha wenyeji wakaisukuma mpaka ikaisha nikabaki mdomo wazi tu.
Ndugu zangu punguzeni huu ulaji wa ovyo namna hii.
tukila chakula kingi kuna shida gani?Unakuta mtu anakula kilo moja ya mchele, chai jagi, chapati nane peke yake, je akila pasi ndefu atakula kiasi gani? Wajifunze kushiba chakula kidogo
Shida iko wapi hapo.Aisee hadi mimi nilishangaa kuona binti mdogo tu ameshusha mzigo mithiri ya gogo asee
Kumbe unatokea bariadi Mzee?Mimi meatuUmepata/umenipata msukuma OG kutoka BARIADI-SIMIYU
KARIBU