Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Mkuu tumewahi kukuomba msaada japo wa kg1 ya sembe?
Sisi kipindi hicho kg1 ya wali watu wawili ilikuwa haitutoshi. Lazima upike na ugali unga kg1 ndo mnashiba Sasa. Ndio ya uji lita10 tulikuwa tunakunywa watu3-4 inaisha na siku nyingine inapelea. Wala hatuna shida au kwamba ni sifa ni kawaida kama ninyi mnavyoona kula chips ni kawaida Mimi Huwa nashangaa vilevile kuona mwanaume kabisa kachomekea anatoa maagizo andaa chps hapo usisahau kuweka tomato na kachumbari!!! Ukweli Huwa nashangaa sana basi kushindwa kumwambia yule mtu