Wasukuma punguzeni huu ulaji wa chakula kingi namna hii

Wasukuma punguzeni huu ulaji wa chakula kingi namna hii

Binafsi isingekuwa haya maisha ya Kisasa na kufata mambo ya Dini ya Mke mmoja, ningeshakuwa na Watoto 20 saivi

Ukienda Vijijini unauziwa ekari 50 Kwa shilingi milioni 2.5 tu, wastani wa ekari Moja shilingi 50,000

Hapo ukijenga yale maboma kila Mke na boma lake, Kila boma umefunga Umeme wa Solar kwaajili ya mwanga

Wakati huo umenunua majembe ya kuvutwa na ng'ombe, ni mwendo wa kulima tu

Chakula hakikauki ndani, magunia na magunia

Siku hizi Elimu ni bure, watasoma kuanzia Shule ya msingi hadi wanafika Chuo Kikuu ambapo wanakutana na boom la Serikali
Babu hayo maisha ya bora liende tu, unafikiri utawapa quality life watoto wako. By the way na wewe ungepass value za moderate life tu kwa watoto wako nothing more. Binafsi baba zangu naona wangeachieve zaidi kama wangekuwa wachache. We ukiamka unawaza tu nikakaze wapi kiuno kwa mke gani, si chakula kipo. Maisha gani hayo!
 
Eti maisha ya kuamka na kuwaza kwenda kukaza kiuno tu 😅🙌

Sikutegemea kama ungekuwa mkorofi kiasi hicho Mjukuu 🤗

Umesema sahihi, Maisha ya vile yanakuwezesha kuwa na Kipato cha wastani na utajiri wa watoto tu ambapo Kwa Dunia ya sasa unakuwa ni mzigo Mkubwa kwenye kumudu kuwapatia mahitaji
 
Habari za jumapili wakubwa.
Juzi kati nikamtembelea jamaa yangu flani hivi ni msukuma anaishi nje kidogo ya mji.
Ebana sijawahi kuona watu wanakula kama hawa watu.
Imeletwa nguna ya watu watatu tu mezani lkn hiyo nguna kwa wanaume wazembe kama wa dar wangeweza kula mwezi mzima.
Tumepiga nguna weeeee me nikasarenda nikawaacha wenyeji wakaisukuma mpaka ikaisha nikabaki mdomo wazi tu.
Ndugu zangu punguzeni huu ulaji wa hovyo namna hii.
Wanakula hadi share yako?
 
Kama sio bikra usioe
 
Wanaona sifa kula chakula kingi, wanasema kwao hakuna njaa wanalima sana. Mtoto mdogo anaanza kulishwa chakula kingi ili tumbo lipanuke awe anapakia chakula kingi hatimaye akiwa mkubwa awe na umbo kubwa. Mshangao ni pale wakienda chooni mtu anashusha kimba la kilo mbili! Kwa ulaji huo choo kitaachaje kujaa haraka?
😂😂
 
Hahahaaa wazee kuna kula kushiba na kula kulambalamba, ngoshaz wanakula kushiba!

Ila sema yotee wasukuma ni wakarimu mnoo, nishawahi kwenda simiyu harakat za kutafuta shamba kufika kwa mwenyeji wangu nikachinjiwa kuku wangu peke yangu i felt humbled wana roho nyeupe sana wengi wao
AMINA
 
Habari za Jumapili wakubwa.

Juzi kati nikamtembelea jamaa yangu fulani hivi ni msukuma anaishi nje kidogo ya mji.

Ebana sijawahi kuona watu wanakula kama hawa watu.

Imeletwa nguna ya watu watatu tu mezani lkn hiyo nguna kwa wanaume wazembe kama wa Dar wangeweza kula mwezi mzima.

Tumepiga nguna weeeee me nikasarenda nikawaacha wenyeji wakaisukuma mpaka ikaisha nikabaki mdomo wazi tu.

Ndugu zangu punguzeni huu ulaji wa ovyo namna hii.
Afu we kyagata (tokokotola)🤔🤣tulekagi basukuma Ole nchokozi

Tafsri(tutakupiga kyagata tuache wasukuma) 🤣 SAGUDA
 
Back
Top Bottom