Waswahili bwana yaani Treni ya SGR Dar hadi Moro ni masaa 2 na dakika 20 mnafurahi na kushangilia!

Sawa hatujakataa huduma nzuri ila wasiifananishe na Bullet trains zile tunazojua sababu zile zinaweza ifanya hiyo kazi kwa dakika 70+ baaasi.
Bro wtf? Una akili kweli wewe? Tanzania ndio kwanza developing country unataka turuke steji tuwe na bullet train wakati kua na treninya uhakika tu kwenda morogoro ni dalili nzuri ya progress. Hivi Kuna treni Gani ya kila siku kwenda morogoro? Usikute hata nje hujafika ila umeona bullet train ndio kimbelembele cha kuponda.
 
Maumbo ya vichwa hvyo CETNRE OF GRAVITY iko juu mno na hivyo kwa upande wangu mimi kama mtu nilyesoma PHYSICS tu, si-RECOMMEND vichwa hivyo kutembea kilometre zaidi ya 100 kwa saa.
The higher the centre of gravity of a body, the less less stable it becomes
 
sio vifo tu, icho kichwa kimoja kimenunuliwa sijui bilioni ngapi uko, kikidondoka ni bonge la hasara.
 
Mimi sio mtetezi wa ccm kabisa ila tu kwa hili ni kwamba kwasababu ndio safari ya kwanza ya majaribio huwezi kufungulia spidi yote. Wamefanya kwa spidi ndogo tu pengine up to 80km/h sio unajua spidi ya juu kabisa ya treni hii itakuwa 160km/h hivyo nafikiri baadaye itawezekana kufika Moro ndani ya saa 1.
 
Sasa tunashangilia nini kama majaribio yamefeli kufikia lengo?
Yamefeli wapi mleta mada ability hanau hiya treni so direct flight to Morogoro sio ya watu wakipanda Dar kitty cha kushuka ni morogoro inasimama njiani kushusha na kupakia

Chukulia kuna vituo vinne njiani kabla kushusha na kupakia kila kituo inanimate dakika 10 tano kushusha tano kupakia kwa kusimama hivyo vituo itatumia dakika 40 hivyo kama imetumia masaa mawili maana yake Treni imetumia dakika 80 kutembea toka Dar hadi Morogoro
 
Mzee ndio mana uliambiwa ni majaribio sasa mbona una crush mapema hivyo

Ndio tunajua nchi yetu bado lakini ukumbuke this is one of the major/biggest project ... just Incase hiyo speed + muda uliotumika utaendela hivyo apo ndio tutasema neno.
Hayo majaribio yalikuwa yanalenga angle zipi za utendaje mkuu?
 
Lengo la kuanzisha mradi wa treni ya umeme ni lipi mkuu?
 
kwa majaribio hata wangetumia masaa 10 ni sawa πŸ’

ila kwa uendeshaji itakapothibitika kwamba sasa reli na treni lenyewe lipo sawa na ni salama kwa matumizi,

kulingana na design ya reli yenyewe dar -Moro yafaa kuwa chini ya dk 90, zaidi ya hapo ni hatari, hasara na uharibifu πŸ’
 
Wapumbavu hampungui tu Tanzania.
 
Kumbe unazungumzia Malori πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Duh.....yatosha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kiswahili kwako kigumu. Labda pia sio mtumiaji sana wa barabara. Barabara ya Dar Moro imejaa malori mwanzo mwisho ndio yanasababisha kutumia gari binafsi au bus ikuchukue masaa zaidi ya manne. Anaekwambia sasa hivi anaenda Moro 2hrs ni muongo.
 
Mzee ndio mana uliambiwa ni majaribio sasa mbona una crush mapema hivyo

Ndio tunajua nchi yetu bado lakini ukumbuke this is one of the major/biggest project ... just Incase hiyo speed + muda uliotumika utaendela hivyo apo ndio tutasema neno.
Mbeleni huo mradi utakufilia mbali
Tangu lini serikali inaweza kuendesha
Miradi yake kibiashara
Tunawasubirieni paleeee

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…