kama kweli tumesafiri kwa masaa 2:20, hayo ni maendeleo makubwa sana kwa nchi kama Tanzania. tunatakiwa kumshukuru Mungu. pamoja na kwamba nchi kadhaa ulaya speed yao ipo hadi 300kmh, lakini kuna route nyingi tu nchi za ulaya train zao speed ipo 155kmh, 185kmh hadi 300. kwahiyo kama hawatakuwa waswahili kuchelewa na kutofuata muda, unaweza kuishi morogoro ukafanya kazi dsm, kwasababu hata sasa kuna watu wanatoka nyumbani hapa dsm hadi kufika posta wametumia masaa mawili hadi matatu kwasababu ya foleni.