Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,943
- 2,597
Acha uongo congo hakuna ZIKA,msiwe mabingwa wa kwenda magereza kuvunjwa mikonomwehu ndama,
akina KIGWANGALA na wenzake, JIWE kawateua wataalamu kwenye siasa, unategemea nani afanye tafiti?
Dr Mwele Malechela aligundua ule ugonjwa unaoua sana Congo DRC, akatangaza, akafukuzwa kazi
Utafiti ni hela, waulize ni lini serikali ilitoa hela ya utafiti! Tafiti zote hizo ambazo naweza kuziita ndogo (kwa sababu siyo hard science) zinazofanyika hapa ni kwa hela za colaborators kutoka USA and Western Europe!Juhudi kubwa zimeelekezwa katika upatikanaji wa UFUMBUZI utakaopelekea kupatikana kwa chanjo na/au dawa dhidi ya kirusi hiki, kadoogo mno kanakoyumbisha ulimwengu. Wanasayansi wetu mko wapi? Mbona wanaosikika ni wale wa majuu tu? Au mpaka mpate sponsorship za tafiti muwafanyie kazi. ... aha, na PhD?
Wanavaa mask kama Sisi raia tuvyuo vya bongo ni kukomoa wanafunzi ndio wanachojua wahadhiri wetu hayo mengine watakwambia serikali haipeleki pesa za research wakati bajeti ya mwaka ni zaidi ya 5bilion kwenye vyuo.. udsm, sua , nelsons mandela university na vingine vya sayansi muone aibu hata kutoa tamko la kuimiza watu wanawe kwa maji tiririka kila mara mmeshindwa.
Your point is undisputed brother. However, their incompetence is beyond of our imagination and that's why they have never ventured to ask for facilitation on the said matter. Kama kuna Daktari alishawahi jitokeza kufanya utafiti kuhusu ili jambo na akanyimwa hela ajitokeze. Hakuna serikali ya kijinga inaweza kukataa kutolewa kwa ajili ya jambo la msingi kama hio. Hela ingetolewa pale ambapo wangekuwa mstari wa mbele kwa ajili ya kufanya utafiti ila hawa wataalamu wetu hawathubutu hata kuomba hizo hela.Utafiti ni hela, waulize ni lini serikali ilitoa hela ya utafiti! Tafiti zote hizo ambazo naweza kuziita ndogo (kwa sababu siyo hard science) zinazofanyika hapa ni kwa hela za colaborators kutoka USA and Western Europe!
I have some insight into research "community" in Tanzania......Some 30 yrs of experience so to say! Do we have a committed gov institution for funding research? Ask Costech how much is budgeted for research from the gov of TZ?? As for Foreign funding, you have to dance their tune.. he who pays the piper, calls the tune!Your point is undisputed brother. However, their incompetence is beyond of our imagination and that's why they have never ventured to ask for facilitation on the said matter. Kama kuna Daktari alishawahi jitokeza kufanya utafiti kuhusu ili jambo na akanyimwa hela ajitokeze. Hakuna serikali ya kijinga inaweza kukataa kutolewa kwa ajili ya jambo la msingi kama hio. Hela ingetolewa pale ambapo wangekuwa mstari wa mbele kwa ajili ya kufanya utafiti ila hawa wataalamu wetu hawathubutu hata kuomba hizo hela.
I have some insight into research "community" in Tanzania......Some 30 yrs of experience so to say!
Okay.
Do we have a committed gov institution for funding research?
There is no such a Gvt institution in Tanzania because we do not have intelligent and committed people to engineer the process but we have cowards who work for their bellies and families only. And that's why huwa unasikia kauli kama "Hiyo hainihusu ilmradi mwisho wa mwezi napata mshahara wangu"
Ask Costech how much is budgeted for research from the gov of TZ??
Doesn't matter. Pamoja na hicho kidogo wamefanya nini ili serikali ipate kuwaongeza bajeti kwa ajili ya hilo zoezi?
As for Foreign funding, you have to dance their tune.. he who pays the piper, calls the tune!
There is no free lunch. And we have to get rid of the entitled mentality. Hela zao ni hela zao tutafute za kwetu ili tujisaidie wenyewe na siyo kusubiri wazungu watupatie hela.
Nitakutafuta inbox tutete zaidi!
Karibu.