copernicucci98
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 1,232
- 2,384
Mimi nadhani sio busara kuwalaumu, research zinahitaji pesa je ni kiasi gani serikali imetenga kwa ajili ya tafiti vyuoni?
Hata kama wanajua kufanya tafiti,je pesa wanayo?Wao wanajua tu kufanya fractional distillation,litmus paper test,how to use bunsen burner,frog dissection etc lkn mambo mengine wao hayawahusu.
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Kama serikali haitoi pesa zipo taasisi na vyuo na makampuni ya nchi za nje hasa Ulaya na America ambayo yako tayari kutoa Funds kwa shughuli za researches, kinachotakiwa ni wewe kupeleka Proposal zako tu.
Maprofesa na wataalamu wetu ni wazuri katika kukariri Paper Works tu, lakini kwenye vitendo na uhalisia ni sufuri tofauti na Maprofesa wa Ulaya na nchi zingine.
Research zinahitaji pesa ila uvumbuzi unahitaji akili si pesa.Mimi nadhani sio busara kuwalaumu, research zinahitaji pesa je ni kiasi gani serikali imetenga kwa ajili ya tafiti?
Utafanyaje innovation kama huna fund? utafanyaje innovation kama serikali haikusapoti? unawakumbuka wale walio tengeneza bnduki na ndege waliishia wapi?Elimu yetu ya African ni applications tuu na sio innovative
Tunajifunza walicho fanya wazungu na sio kuvumbua vitu vipya,
mfano, (Matindale Extra pharmacopoeia, Pharmaceutical codex, na vitabu viingi tunatumia vya wazungu unategemea dawa tutapata ? Labda ya babu wa loliondo
Sijui kama uko serious au unatania!! Hivi utafanyaje uvumbuzi kama hufanyi research? na utafanyaje research kama huna pesa?
Mbona huwa wanaenda hizo nchi zenye machine bora! Huwa wanaenda kufanya nin?Ndugu zangu hamjui mambo yanavyoenda.
Hizo complex machines (microscopes) za kumpembua huyo corona mnazo??
Nahisi umefikiri mambo yanaenda kama kuchambua mchele.
LOooh, mkuu'Shark' umetoa mada ya kichokozi kweli!Kuna Thread humu ilikua inatembea ni yupi lecture bora wako chuoni, wapo wengi walisifiwa mpaka ukawa unazan wanaeza gundua moyo. Kila mmoja anamsifia lecture wake kuwa alikua bora balaa wakati wa ufundishaji, sasa Leo najiuliza wapo wapi hao Madaktari malecture waliokua wanaonekana bora darasani. Wapo wapi wasigundue dawa ya kutibu Vimafua tu mpaka tunakufa. Wameshindwa nini kufanyia kwa vitendo Yale ambayo waliokua mpka wanatoa supp mtu akishindwa. Imagine unakumbuka ticha alikufelisha kisa umesaau meaning of virus na characteristics zake lkn ticha huyo huyo mpaka Leo nae anajifungia ndani anaogopa eti virus ni ajabu. Hebu mtag Profesa au lecture ambae alikua anajifanya anaijua topic ya Virus lkn Leo kajifungia ndani kisa mafua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndo angepiga show ya come back. Angepata Utajiri wa Jack Mafuu au Bill Gate kabisa.Hivi yule babu Wa #loliondo wap yupo angeanzisha kikombe basi Tz Tungeandika history
Mkuu embu taja hayo mashirika yanayotoa funds kwa research πππ